Nimeikuta hii kwa mjengwa
CCM London walikutana wakati Chadema wanafanya mkutano Reading.
Cha ajabu hawa jamaa walikutana vichochoroni kwenye kiza kinene kama vile uwanja wa fisi.
Swali ; Kwa...
Kauli za hivi karibuni za Mh Sitta kuhusu uongozi wa CDM zinaonyesha Sitta hakukurupuka kutoa kauli zile kwani backlash yake alikua anaijua na inaonekana hakuidharau hata kidogo na ndiyo maana...
Wana JF, salaam.
Nakumbuka leo ndio ile siku ya kusikilizwa kwa ile kesi namba 146 ya mwaka 2012 , inayomkabili mbunge wa jimbo la BAHI mkoani Dodoma CCM, mh Omary Baduwel Kwa kosa ya kuomba...
AS the session of the East African Legislative Assembly (EALA) resumes on Monday in Kenya's capital city of Nairobi, Tanzania, has reiterated that the land issue will never be part of the...
Chadema iangalie upya usalama wa viongozi wao kwa makini,ni dhairi ccm wana nia ya kuimaliza Chadema kwani wameshaona ni hatari kwao
nashauri uongozi mzima wa Chadema ukae chini ikiwezekana...
Waziri wasira anasema Serikali itakichukulia hatua kali Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa rafu zake, kwamba serikali ni kama refa wa kufanya maamuzi. Kasema rafu za CHADEMA zinatishia Amani na...
Huku vita ikiwa mbichi ya Kupambana na maadui watatu, ambayo tunazidi kushindwa kadiri ziku zinavyosonga, sasa wameongezeka maadui wengine wabaya watatu. Maadui hao ni CCM, UFISADI na POLISI.
CCM...
Jumapili, Septemba 02, 2012 07:46 Na Eliya Mbonea, Monduli
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
MBUNGE WA Jimbo la Monduli, Edward Lowassa amesema kiongozi...
Leo nimekumbuka maneno yaliyosemwa na mwanafalsafa gwiji wa Tanzania,hayati mwalimu JK NYERERE miaka kumi na sita iliyopita pale kwenye ukumbi wa simba grill,alisema'dhambi ya ubaguzi ukisha...
HALI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imezidi kuchafuka kufuatia vigogo wa serikali kutuhumiwa kuhusiana na kampeni chafu zikiwamo rushwa na fitina, ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida...
SIKU moja baada ya waziri wa Afrika Mashariki na mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta kumrushia kombora mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema)...
Tanzania leo hii imerudi zile zama za kikoloni au zile na kumwogopa balozi wa nyumba kumi ambapo serikali inaweza kufanya chochote bila kuhojiwa na umma. Polisi anaweza kukupiga risasi bila...
Mh. Mbowe: Sisi sote ni ndugu, vyama vya siasa visitugombanishe, tutangulize Utanzania wetu, watanzania walikuwepo kabla ya vyama vya siasa, Tanzania inachanga moto nyingi kuliko malumbano vya...
Hello JF......
ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........
Upepo wa...
Soma makala hii ndio kidogo utapata picha kamiliPOLISI NA MAUAJI YA SHELABELA YA WATUHUMIWA
SITAKI Na Ndimara Tegambwage
Polisi wanaoua vyanzo vya taarifa
SITAKI mauaji ya kila siku. Kila...
Siasa ni mchezo mzuri sana ambao umejaa maigizo na vituko, mbwembwe na visa, Fitna na majungu lakini pia Ujuzi na umakini wa hali ya juu mno kuliko DRAFT!Kila kauli kwenye siasa ina maana...
Kwa muda mrefu sasa CHADEMA imekuwa inahamasisha washabiki/wapenzi wake kujiunga na M4C, au Movement For Change (kwa kiingereza). Wakati mwingine wanaona kwamba jambo lao fulani limefanikiwa, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.