Hongera CHADEMA kwa mafanikio mnayopata

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Napongeza sana chama hiki pekee, makini kwa harakati za kuleta mabadiliko nchini.

Kwa sasa chama kimepata magari 200 ili kuwezesha harakati hizi muhimu. big up CDM. hakuna kulala, hakuna usingizi.
 
Ni kweli tunahitaji mabadiliko has ya kiuchumi, wengine hawajui wanahitaji mabadiliko ya aina gani, lakini kupongeza Chama kuwa kimepata Magari 200 huu bado ni utumwa wa fikra. Mwenzako ananufaika na familiya yake kisha wewe unampongeza kwa lipi? Je hayo Magari unanufaika nayo kivipi? Je umehoji upatikanaji wake au haujui kama Vyama navyo vinatumia kodi yako bila wewe kujijua? Unajua maana ya Ruzuku au inatoka wapi? Wananchi tujitambue na kudai vitu vya msingi.Ukitaka uishi maisha yanayoelekeana na Ulaya lazima nawe ujipange siyo kuota huku unatembea huu ni uzembe wa kuwaza. Jua Siasa hugeuka kulingana na juoteana. Jitume ili ufanikiwe baadae, na jinsi ujiandavyo leo ndivyo utakavyo ishi kesho
 
Napongeza sana chama hiki pekee, makini kwa harakati za kuleta mabadiliko nchini.

Kwa sasa chama kimepata magari 200 ili kuwezesha harakati hizi muhimu. big up CDM. hakuna kulala, hakuna usingizi.

magari mia mbili wakati hamna ofisi ya kudumu ( poor planning) .
 
Ni harakati nzuri. Mzoefu wa siasa za upinzani hawezi kupinga ununuzi wa magari!. Kipaumbele kwa sasa ni kuwafikia watu wengi zaidi. Ofisi zitajengwa baadaye!.
 
Back
Top Bottom