Ulipangwa kufanyika leo trh 28 August, 2012 kuanzia mida ya saa 8 mchana katika viwanja vya mwembetogwa. Sababu ni zile zile za kiintelejensia na kupisha zoezi la Sensa linaloendelea sasa...
Mustapha Kapalata, Nzega na Frederick Katulanda, Mwanza
SAKATA la makada wa CCM, Hussein Bashe na Dk Hamis Kigwangalla kutoleana bastola, limechukua sura mpya baada ya uongozi wa chama hicho...
Wadai magazeti mengi na vyombo vyingi vya habari hupotosha habari kwa makusudi.
wamesema sensa limepotoshwa huku hata wale waliokuwa wakivamiwa na polisi usiku wa manane vyombo hivi vilikuwa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kimepata pigo kutokana na kifo cha Katibu wa Mkoa huo, Asha Kipangula, aliyefariki leo asubuhi katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam.
Habari za kifo...
KIASI kikubwa cha fedha hutoroshwa na kufichwa nje ya nchi wakati taifa linapokuwa katika uchaguzi, vita na matatizo ya kiuchumi. Uchunguzi wa Mwananchi Jumapili umebaini kuwa katika mazingira...
Wakuu,
Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuwa wakati wa Mwalimu kuna watu waliitwa Ikulu wakatandikwa viboko baada ya kuenda kinyume na taratibu. Jana nilihakikisha hilo wakati wa kipindi cha...
Ni ukweli usiopingika kuwa, mchakamchaka wa uchaguzi unaoendelea ndani ya CCM unatawaliwa zaidi na makundi hasimu mawili ambayo yanatajwa kutaka watu wao wachaguliwe na kujiweka katika mazingira...
NEWS
Lugufi farm; the US investor was looking to take it over. Photo/Oakland Institute of US
By MIKE MANDE The EastAfrican
Posted Saturday, September 1 2012 at 13:42
IN SUMMARY...
Zambia's President Michael Sata. PHOTO | FILE
By MICHAEL CHAWE in LusakaPosted Friday, August 31 2012 at 16:12
Zambia's President Michael Sata Friday sacked Justice minister Sebastian Zulu...
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...
Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia
Political repression
In 1962, Nyerere...
Kulingana na kauli za ajabu nilizosikia Samweli Sitta, Waziri wa Afrika Mashariki akiongea leo RADIO ONE nimewia kuwaomba wanajamvi tumwoneshe kuwa si kweli kuwa CHADEMA haina vijana ILIOWAKUZA na...
Nimesoma na kushtushwa na habari ambazo zimeendelea kuripotiwa na gazeti la Nipashe, jana na hata leo { 03/08/ 2012} kuwa maeneo ya mpaka wa Tanzania huko mkoani Kagera yamevamiwa na wahamiaji...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania, kesho litatimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake.
Ikumbukwe kua JWTZ lilizaliwa baada ya uasi ulotokea January 1964 wa jeshi la kikoloni (Kings African Rifle)...
Kwa wale mnaofatilia vyombo vya habari na jinsi hali halisi ilivyo kwa zoezi la sensa linaloendelea ni kwamba halitafanikiwa kwa 100%.
Changamoto ambazo serikali imeshindwa kukabiliana nazo ni...
Sitta: Elimu na Afya bure inawezekana
Send to a friend
Saturday, 01 September 2012 09:03
Edwin Mjwahuzi, Kagera
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema Serikali...
Sunday, 02 September 2012 07:22
Claud Mshana
KIASI kikubwa cha fedha hutoroshwa na kufichwa nje ya nchi wakati taifa linapokuwa katika uchaguzi, vita na matatizo ya kiuchumi...
Kufuatia kitendo cha rais kuongeza wiki moja zaidi katika zoezi la sensa huku M4C ikitegemewa kuanza tena jumapili(September 2).
Wadau ningependa kujulishwa kama kuendelea huko kwa zoezi la...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa amesitisha operesheni M4C kwa siku 5.
Dr Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CDM amesema amekubaliana na Serikali kwa maslahi ya nchi kupisha zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.