Vituko vya sensa ZANZIBAR ~ WaZanzibar wakataa kuhesabiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya sensa ZANZIBAR ~ WaZanzibar wakataa kuhesabiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Sep 2, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Eti wannijia kunzaliwa wapi? nnawambiaa wataka nn mie mapembe nanunua kwa pesa zaangu,kipande cha papa kwa pesa zaangu mafuta taa kwa pesa zaangu cjamuombapo ntu, cku nyengine nalala na njaa cjamuonapo n2 taaa kuja niuliza km nnapata kula au mvp,!?

  Nekwenda jiandikisha uraia neambiwa cjuulikani leo mwanijia na hashuo lenu la sensa! nshakwambia uka! akifanya ubishi ta nlipotoka na panga,ama ntwana ana mbio semuona taaa njia alopita aaka! ataka nifanyia pumbazo nshamwambia mie sebu isabiwaaa kannishika...!!

  Kijiji cha Kendwa huko kaskazini Unguja kwamba tifu kubwa Linaendelea.Inasemwa kuwa walikataa hata maafisa wa sensa kuingia huko na kunagari moja lilipigwa mawe na kuvunjwa vioo, pia afisa mmoja amejeruhiwa.

  Kuna mtu anasema yeye wakienda kwake maafisa wa sensa, hata wakienda na polisi, atakalofanya atawakaribisha vizuri, atawasha tivii yake atizame, hatojibu chochote atakkuwa bubu anasema. Sasa hii ni ngondo!


  Kuna Mkubwa 'angu ambaye anaishi na kukaa Zanzibar, ilimbidi ang'owe mlango wake wa nyumba wenye nambari za utambulishi apeleke kwenye kituo cha Uchaguzi kwa kuwa Sheha kamwambia hamfahamu na hajui anapokaa wakati hati ya kununulia hicho kiwanja cha nyumba anachokaa yeye ndiye aliyempa na ni wenye kufahamiana vizuri na yeye kasema haitambui sensa.

  Ukiwasikiliza wananchi wa Zanzibar kwa nini wanaigomea sensa. Wengi wanajibu sheha wetu sisi hatujuwi wakati tukiomba vipande vya uraia na wakati wa uchaguzi. Je leo wanatujuaje kuwa ni raia tunaostahiki kuhesabiwa. Kwa hali hiyo wananchi wanasema kuwa hawaamini kuwa sensa hii ipo kwa maendeleo yao. Si wengi ambao nimezungumza wanaokataa kuhesabiwa kwa sababu za kidini kuliko sababu za haki zao za uraia.
   
 2. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmmh makubwa hayo tena.
   
 3. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Baada ponda na wenzakd kuhesabiwa bara tz
   
 4. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kwiiiiikwiiii
   
 5. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  kama walikuwa hawatambuliwi hapo awali kwa sabubu za kisiasa,wana haki ya kugoma kuhesabiwa.
   
 6. k

  kundaseni meena Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama sababu ni hizo za uraia mi sina ubishi kazi ni kwao na sirikali yao lakini ningeumia kichwa kama ingehusu dini.
   
 7. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,080
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  hiyo ndio imefanikiwa 95%, na inarudiwa 100% days.
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Only in Bongo kaka. Rais wetu anatamani abaki hukohuko Ethiopia maana .......
   
Loading...