Katika kile kinachoonekana kutuliza wananchi na upepo mbaya nchini kutokana na kauli yake ya kutishia kufuta CDM, jana waziri wa nchi ofisi ya Rais Stephen Wassira amekana kauli yake na kusema...
Watanzania wenzangu, binafsi naona upo umuhimu wa Idara ya haki za binadamu ya Chadema na wakereketwa wengine kuifungulia mashtaka polisi mahakamani, kwani tukio la Iringa lina ushahidi tosha...
Jamani haya matumizi ya silaha za moto kwenye mikutano ya kisiasa,mauaji ya watu wasio na hatia,kukithiri kwa rushwa,hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu kwa tabaka la chini,ukosefu wa ajira na tabaka...
Jeneral Ulimwengu anaendesha kipindi cha Jeneral on Monday,
Mada ni Mauaji ya Mwngosi - Nyororo
Wachagiaji jaji Mihayo na mwenyekiti wa baraza la Waandishi wa habari...
Baada ya sheikh Ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la...
Jina la Michael Kamuhanda nilipolisikia tu nilihisi kama nimewahi kulisikia tena siku si nyingi. Nina uhakika na wengine wamelikumbuka pia kuwa ndiye aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Ruvuma ambapo...
Leo jioni hii kuna kipindi kimerushwa 'Live' EATV kikiendeshwa na Adrian pamoja na Fatma. Kipindo hicho cha dakika 120 uhusisha segment mbali mbali kama habari iliopo moto moto, habari za uchumi...
Huko Nyuma niliwahi kuomba ushauri wa jinsi ya kumshitaki Mkapa the Hague baada ya mauwaji ya Pemba. Ushauri mzuri niliopewa ilikuwa ni kupeleka mashitaka Ubelgiji ambao wana sheria ya kumukamata...
Mataifa mbalimbali Duniani yanajua Tanzania ni kisiwa cha Amani wakati sio kweli not anymore, sasa hivi ni WOGA tulionao juu ya Serikali na Vyombo vyake hasa POLISI ndio kinachotangazwa huko nje...
HOTUBAYA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA, KWA WANANCHI, TAREHE 31 AGOSTI, 2012
Utangulizi
NduguWananchi;
Kilamwisho wa mwezi nimekuwa...
Kilicho tokea Iringa haina tofauti na afrika kusini lakini wale wote waliostakiwa kwa mauji ya wanamgodi wamefutiwa mastaka,je hapa kwetu itakuaje maana nasikia kuna watu wanashikiliwa kwa mauji...
Ni katika mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Morogoro Shigela ambaye anajiita kijana wa CCM na anatambulika hivyo na Wanaojiita vijana wenzake pale CCM, alisema kuwa mauaji ya Morogoro hayaingii...
LHRC: Tume ya Katiba iongeza utoaji wa elimu kwa wananchi
Sunday, 02 September 2012 11:12
Na Aidan Mhando
Mwananchi
IKIWA tayari Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeanza kazi ya...
Jumatatu, Septemba 03, 2012 05:19 Na Christina Gauluhanga, Dar es Salaam
CHAMA cha ADC, kimesema kimejipanga vizuri ili kudhibiti watu wabaya wanaoweza kukivuruga...
Ni wengi mnafahamu kamba hutumika kufungia au kubebea baadhi ya vitu, ni dhairi kwamba kuna vitu vizito au vigumu ambavyo huwezi kuvifunga au kubeba kwa kutumia kwamba ya mgomba. Vinahitaji kamba...
Mwakilishi wa CCM azomewa kwenye kongamano Jumatatu, Septemba 03, 2012 05:27 Na Arodia Peter
MWAKILISHI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Godwin Kunambi...
Wakuu,
JK kawataka wanasiasa kuacha kutoa kauli za kichochezi kwa kuwa tunaweza tusiwe na ubavu wa kuwapiga Malawi. Mpaka upo ukingoni mwa ziwa upande wa Tanzania. Majadiliano yanaendelea...
( Huu ni mchango wa Bw. Karsan kwenye Facebook ya Mjengwa)
Watanzania wenzangu, nachukua fursa hii kuwajulisheni kuwa sisi viongozi wa UTPC, tunakichukulia kitendo hiki katika daraja ya aina...
Jumatatu, Septemba 03, 2012 05:16 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, ameziagiza halmashauri zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.