Tume ya uchaguzi; "Hatujapewa nakala ya hukumu igunga", je, chadema walipewa barua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya uchaguzi; "Hatujapewa nakala ya hukumu igunga", je, chadema walipewa barua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Sep 2, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Kuizuia chadema wasifanye shughuli zao za kichama kwa ajili ya kupisha sensa kunaambatana na sheria ipi
  please! Open your gets of logics.

  Tuliivunja KAR baada ya kuona haina mwelekeo wa kulinda mipaka ya nchi yetu, tukaanzisha badala yake JWTZ lenye heshima sana mpaka leo.

  Mwenendo na Mwelekeo wa polisi wa tanzania hautofautiani kwa taathira na marehemu 'KAR' kwa kuzingatia wajibu wetu kikatiba tutakosea nini tukilivunja hili jeshi, na kuweka mbadala kama nyakati za 'KAR' come JWTZ?

  hawatakwepa mashtaka, ccm wamewashindwa kuwabana chadema bungeni, iweje polisi wakubali kutumika na ccm kwa vita waliyoishindwa kisheria na kikatiba bungeni?

  Naomba kutoa hoja.
   
Loading...