Sheria ni tofauti na hisia za wanachi, ukifuatilia kesi nyingi duniani za ushaidi wa wazi na watuhumiwa wanashinda. Wa CDM kunatofauti kubwa kati ya hisia na sheria, huu sio wakati wa kushangaa na kulalamika ni wakati wa kujifunza na kukubali mabadiliko. Tunapo lalamika hatuna ushaidi wa Lema akitukana hiyo ni kazi ya mahakama huku tukiufananisha na wa Lusinde bila kwenda mahakamani tunapoteza mda na jf ni blog na sio muhimili wa dola. Hii hukumu wana CDM imekuja wakati muhimu na binadamu tunajifunza kwa makosa, leo tumevuliwa ubunge kwa matusi 2015 tutavuliwa uraisi kwa matusi.
Nawakilish>>
Nawakilish>>