Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Aug 27, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  DSC00467.JPG DSC00462.JPG Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX .

  Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema.

  Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu aendelee kuwalinda hadi wa maono yenu wana wa ukombozi wa nchi hii.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ccm wataona utamu vibaya sana 2015
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,589
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Hii nimeismiss,next time God willing!hongereni makamanda,wapi picha mkuu?
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.

  Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mimi wananikera sana.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu mtakatifu ubarikiwe.
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa nataka kusema Molemo anaumwa nini Mbona sijauona mchongo wake hapa kumbe upo.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,250
  Trophy Points: 280
  Kaburi lisha chimbwa na maiti Ya CCM isha tolewa mochwari, tunasubiri mazishi 2015
   
 11. K

  Kidoma Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkwawaaaa
  acha hizo,
  ukweli wa mambo hayo daima huthibitishwa na reliable source na evidence au habari liliyoshiba.
  unataka udhaniwe hukujiandaa kuanzisha uzi huu?
  weka picha kama ulihudhuria, ongeza taarifa zaidi kama ulishudia au hata kama umehadisiwa
  laa! hauna usiwe unaanzisha uzi kwa style hii!

  guess how sensitive is the story?
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,589
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Kuna wanachama wanaojiandaa kwenda ground,sioni shida waki organize.Adui ni ccm.
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wewe inaelekea umejifungia kwenye kibox kidogo au tayari umeshalewa falsafa za magamba kwamba kila anayetoka nje ya Tanzania ni kwa ajili ya posho au mambo binafsi! Kwanza uelewe lazima chama kijimbanue ndani na nje ya nchi na pia kuna mchakato mzima wa katiba na hili la watu walio ughaibuni kuruhusiwa kupiga kura kwenye balozi zetu au kwa njia ya mtandao litaingizwa so kamanda mbowe yupo kueleza itikadi na falsafa za chama nje ya Tanzania na kutafuta marafiki pia!!na kuhamasisha watanzania walio nje wenye kipato kizuri wawekeze Tanzania na wasaidie pia vuguvugu la M4C ili 2015 mambo yaende sawa!
   
 14. M

  MCHARA Senior Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimeipenda hiyo kwani itawachanganya ccm na Nape akiona Pikipiki hizo 126 atazusha kuwa zimetolewa na wafadhili wa kizungu!
   
 15. k

  kajima JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 866
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Picha?
   
 16. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  maajabu yako wapi sasa?unajua maana ya maajabu wewe???
   
 17. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ni mwendelezo mzuri kwa CHADEMA.
   
 19. k

  kipisi Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Mh mbowe amefanya kile kilichowashinda wanasisa wengi wa tanzania walio waliowahi kutembelea houston, ktk mkutano uliofanyika mariot hotel watanzania zaidi ya 100 waliweza kuchua Card za chadema, kabla ya mh mbowe mh Sugu alitoa hotuba fupi akiwaomba wananchi waunganishe nguvu kuutoa utawala mbovu wa ccm, Sugu alienda mbali akisema ccm wanawaogopa wana diaspora, chadema wanawahitaji sana Hawa watu, watasaidia sana kujenga uchumi wa nchi yetu
   

  Attached Files:

 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,737
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
   
Loading...