Polisi Iringa wajiandaa kuua mkutano wa Chadema Mufindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Iringa wajiandaa kuua mkutano wa Chadema Mufindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlyafinono, Sep 2, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mlyafinono Senior Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi mkoani Irinaga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wameshindwa kufikia maafikiano kuhusu makubaliano ya awali ya kuanza kwa mikutano yao baada ya kumalizika kwa zoezi la sensa ya watu na makazi.

  Wakati jeshi la polisi wakitaka chadema kusubiri hadi tarehe 8 mwezi huu baada ya muda wa sensa kungezwa chadema wanasema mkutano wao ambao umepangwa kufanyika Mafinga wilayani Mufindi upo palepale.

  Kauli za Viongozi

  RPC iringa, Michael Kamuhanda.

  -nina digrii ya maswala ya kipolisi, CHADEMA hawawezi kutushinda.
  -wasipotii agizo letu nakufanya mkutano wao mafinga tutumia uwezo wetu wote kuhakikisha tunawadhibiti.

  Benson Kigaila.........

  Wamezuia mkutano wetu kwa kisingizio cha sensa, wakati bububu zanziba leo kuta uzinduzi wa kampeni za uchaguzi,je huko hakuna sensa?

  -Liwalo na liwe mkutano leo lazima ufanyike mafinga.

  Dk. slaa........

  Kauli ya Benson ndo msimamo wa CHADEMA.

  -Nilionge na IGP jana kumweleza kuwa tulikubaliana kistaarabu kwahiyo aheshimu makubaliano.
  -Mkutano wetu leo Mafinga lazima ufanyike tumechoshwa na ukandamizaji wa Jeshi la poisi.

  My take.........
  Kama kweli mkutano utafanyika mafinga maafa huenda yakawa makubwa kuliko ilivyokuwa morogoro kwani tayari magari 8 ya polisi yameshakwenda mafinga kupambana na lolote litakalotokea
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hngera polisi
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asiye fuata maagizo ya serikali ni mpuuzi ndo mlivyokuwa mnasema wakati Watu wanakataa kuhesabiwa Leo na nyie mmekataa maagizo ya serikali.What comes around goes around andamaneni Kama hamjaacha meno chini
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  jamani cdm someni alama za nyakati hata kama cdm sio wanaohusika na mauaji yanayotokana na maandamano ni rahisi sana kuhusisha hayo mauaji na maandamano ya cdm, msisahau ya kuwa na rahisi sana kuwaeleza wananchi ambao wengi wao wana uelewa duni kuwa cdm inahusika na mauaji na ikaeleweka hivyo.Tafadhalini sana umaarufu mlioupata kwa siku za hivi karibuni ni muhimu kwa maendeleo ya ukuaji wa demokrasia ila msipokuwa makini na haya maandamano hatima yenu itakuwa kama cuf na nccr mageuzi
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  waachiwe watiwe adabu kidogo kwa kukaidi amri ya polisi
   
 6. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,008
  Likes Received: 2,224
  Trophy Points: 280
  This serious kwanini jeshi la intelijensia piranhas kama wapiga ramli? Inatia aibu sana kuona demokrasia ikikaandamizwa na vyombo vya dola.
  Ni kwamuda gani hali hii itaendelea?

  Inapotokea watu mmekubaliana kama binadamu ni vyema makubaliano yatimizwe hiki kiburi cya jeshi la polisi wajue wao ndo wanaizika ccm wasidhani wanaisaidia ccm.
   
 7. H

  HIMO Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hawa polisi wameelekezwa na chemba wazuie mikutano ya chadema popote inapofanyika kwani wanapokea posho kutoka ccm .nawashauri polisi kwamba akil za kuambiwa changanya na zako ndipo ufanye maamuzi vinginevyo tutangaziwe rasmi polisi ni jumuiya ya ccm na si chombo cha ulinzi na usalama wa raia
   
 8. commited

  commited JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  any way mimi naona CDM watulie tu, maana naona hata hili la kuongezwa siku lengo si kuwa coz kunasensa but ni kutaka tu cdm iendeleee kuingia gharama, mbona makala anafanya mikutano mvomero-Morogoro Kila siku huko hakuna sensa?, kunamkutano zenji huko wa nyinyiemu je zanzibar hakuna sensa??/ CDM tulieni tu nduguzangu MUNGUNI MWEMA NA SIKU MOJA HATA HAO POLISI WATATUPIGIA SALUTI.
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  leo yamekuwa hayo? Sensa imeisha? Hongera polisi wa ccm kwa kuwatonesha chadema baada ya kusahbkikia sensa
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Duu hii kali!!
  Jeshi la polisi ni kama genge la washirikina, kutwa nzima wanatafuta mtu wa kuua tu.
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  yamekuwa hayo tena? sensa vs uislam yameisha?
   
 12. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Kabla hamjaja kuropoka kama Chemba naomba mtambue kwamba huko Zanzibar leo CCM wanazindua kampeni jimbo la Bububu,je huko si Tz?huko hakuna sensa?
   
 13. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Lakini si walikubaliana?,Sasa hayo mengine yanakujaje?,muda wa sensa ulioongezwa ni kwa wale ambao hawakufikiwa ili watoe taarifa.na mtu wa mwisho ni tar 8.hiyo haiwezi kuzuia mkutano.mbona hii nchi inakuwa hivyo jamani?.utanyamazisha watu mpaka lini? Tumechoka na polisi.
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hahaha. kumbe sensa? kama chadema mlidahani mkiunga mkono sensa mupendwe napolisi hilo mumepotea
   
 15. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Lengo la polisi ni kufanikisha sensa au ni kuthibiti CDM?

  Ni kweli kwamba zoezi la sensa litaathirika kama CDM wakifanya mkutano?

  Mikusanyiko ya watu makanisani leo imeathiri sensa?

  Polisi watachokoza wananchi mpaka lini?
   
 16. s

  siyabonga Senior Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinachofanyika sasa ni mbinu tu za kitoto, kuwachelewesha, kuwatiisha na kuwakatisha tamaa. Bado wako maabara, wanatafuta mbinu inayowafaa.

  Mkikubali hili, mmekwisha. Kama Morogoro watu walijitokeza, Iringa ni zaidi. Mkutano ufanyike.

  CDM, Dk. Slaa, fanyeni maamuzi sasa, hata ikibidi wewe mwenyewe binafsi kuanza kulipia kidogo kidogo gharama za ukombozi! Ni akiba hiyo, unajiwekea. Haki haitolewi kama maini katika sahani na vitumbua, inapiganiwa
   
 17. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Ama kweli wewe ni mashua ya kupeleka watu KUZIMU kwa SHETANI.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  leo umewageuka polisi? sio ndio hawa waliosimamia sensa kwa waislam? hongera polisi watz kwa kazi mnayofanya kwa chadema
   
 19. g

  galimanywa Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sasa hivi sio mapambano kati ya CHADEMA na Polisi bali kuna mkakati maalum wa kuwafanyia vitendo vya HUJUMA na UNYAMA viongozi wa Chadema . Habali ambazo zimekwisha vuja kutoka ndani ya vyombo vya USALAMA zimeeleza hivyo. Chadema wanatakiwa wawe makini na polisi hawa maana wamekwisha agizwa kufanya lolote hata kuua
   
 20. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tupo pamoja makamanda,yaani mkutano ni lazima........pipoooooooooooooooooooooz
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...