Nimetumia muda mwingi kutafakari hali ya kisiasa inavyoenedea hapa nchini.
Napenda niweke wazi kabisa mimi ni mwana CCM na ni mwanachama hai maana hata kadi yangu imelipiwa ada hadi mwaka 2014...
Tangu nchi za kaskazini mwa afrika kukumbwa na mapinduzi yaliyojikita zaidi katika kile kinaichoitwa nguvu ya umma yaani People's Powower kwa vyovyote nchi nyingine barani Afrika zinaweza kujenga...
Ni dhahiri kuwa Marehemu Daudi Mwangosa alikuwa akichukua matukio mablimbali katika matafaruku wa Polisi na wafuasi wa CDM pale Nyororo (Mfindi). Bilashaka kumbukumbu alizokuwa akichukua za...
Wakuu kwa mara nyingine, poleni na msiba wa mwandishi Daud Mwangosi.
Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu fika kilichomtokea marehemu mtajwa hapo juu wakati akijaribu kufanya kazi yake. Sina...
Ni kawaida kusikia Tamko la kulaani au kupongeza, likitolewa haraka na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,inayoratibiwa na Bwana Rweye. Sasa ninahoji;
Kwanini Ikulu inakuwa kimya kuongelea, walau...
Tanzania iko njia panda.
Rais hana mamlaka tena,analosema linaonekana kama takatataka. Aliodhani watamsaidia, sasa wamemgeuke kabisa, wako kinyume naye.
Ni hali tete isiyo ya kawaida, hali ya...
ITV imetoa habari iliyokamilika kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari, waandishi wa habari walioshuhudia tukio hilo wameeleza bayana tukio hilo kwa kubainisha chazo cha mauaji hayo, na huku...
Tanesco Morogoro ilichangisha wananchi wa mzumbe gharama za service line na hatimayake umeme ulipelekwa kwa watu wachache tu. Mafundi walipopeleka nguzo hadi kwa wananchi wengine kilichotokea ni...
Ndugu zangu wana jamii, kwanza heshima mbele
Kwanza niseme kuwa nimepokea taarifa za kifo cha mwenzetu kule nyololo kwa masikitiko makubwa sana, na mpaka sasa ninapoangalia picha zile, nashindwa...
Ni hatari sana kuwa na imani kwa mtu mwenye elimu ndogo tena amekubali kufanya kazi inayoongozwa kwa amri pekee.
Polisi wengi ni form four failures,matokeo yake wanakua watu wakufanya kaz tuu...
Jeshi la Polisi lilipiga Marufuku Mikusanyiko na Shughuli za Kisiasa kwa VYAMA VYOTE Mpaka pale Zoezi la Sensa litakapoisha.
Nchimbi anampiga Mkwara Mwema kwa Kumuacha Dokta Slaa akirandaranda...
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda, Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye pamoja na wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi rasmi wa Mkutano...
Ni katika ile staili ya woga ya serikali ya magamba, kila panapotokea kashfa inayowabana mbavu, basi hukimbilia kupeleka watu mahakamani, hata kwa chaji hafifu, ili tu vyombo vya habari...
Redio DW BON, imeripoti kuwa JEshi la polisi limewakamata watu 32 waliokuwa wakiend Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa. Pia Kuna watu waliokamatwa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi...
Kama mtu ambaye ndiyo unayehusika na mambo ya usalama, kwa nini yanatokea haya bila ya kuyazuia? Binafsi wewe pamoja na mkuu wa polisi wa Iringa ambaye anaonekana akiwepo kwenye tukio la mauaji ya...
SIKU moja baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa kumrushia kombora zito Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, Mjumbe wa...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (kushoto) akiongea na Mawaziri wa Katiba na Sheria kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Mathias Chikawe (kulia) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.