Freeman Mbowe akiwa ndani ya Houston- Angalia Video

mbona kama manzese hapo!

Tofauti kati ya watu makini na wachumia tumbo lazima uuijue tu, kwani Manzese kuna shida gani? Si watanzania wanaishi? Hapa watu wanataka kuikomboa nchi hata wakikutana chini mti, ndio ni kweli kulikuwa hakuna hata juice ila wananchi walikaa masaa manne kusikiliza tena kwa utulivu, wakiwa na uchungu mkubwa wa umasikini wa kutengenezwa na serilikali yetu dhaifu na dhalimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom