Matukio ya Kisiasa na Mikusanyiko Siku ya 02/08/2012

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Jeshi la Polisi lilipiga Marufuku Mikusanyiko na Shughuli za Kisiasa kwa VYAMA VYOTE Mpaka pale Zoezi la Sensa litakapoisha.

Nchimbi anampiga Mkwara Mwema kwa Kumuacha Dokta Slaa akirandaranda. Namshauri Emanuel Nchimbi aaangalie Hii Picha kama halafu ajibu ni Kwa Nini Polisi Wanaipendelea CCM na Kuwaacha akina Ruge wakikiuka Agizo halali na Kwenda Kupiga Watu waliokuwa wanafungua TAWI

Hi Kati ya Dr. Bilal na Wale Wananchi waliokuwa wanafungua Tawi lao nani anapaswa kuwa Behind the Bars?

Untitled-1.jpg
 

Attachments

  • .jpg
    .jpg
    444.7 KB · Views: 48
Hongera, umetengeneza detailed report. Ila najua watasema sababu za intelijinsia zilionyesha Iringa kuna tatizo....
 
Back
Top Bottom