Kwanini IKULU ipo kimya,haijatoa TAMKO hadi sasa?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Ni kawaida kusikia Tamko la kulaani au kupongeza, likitolewa haraka na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,inayoratibiwa na Bwana Rweye. Sasa ninahoji;

Kwanini Ikulu inakuwa kimya kuongelea, walau ku- sympathies maafa haya ya RAIA? Je kuna haki iliyokubwa zaidi ya KUISHI? Je Ikulu haioni umuhimu wa kusema chochote, hasa kwa jambo la msingi kama hili la mfululizo wa Mauaji ya Raia, tena chini ya POLISI? Au kwao (IKULU) Uhai wa walalahoi hauna maana ya kutolewa tamko?

Nauliza tu!!
 
Ikulu ndio mwenyekiti wa ccm anapoishi na serekali yake ndio imemlipua bomu mwangosi.........mungu katupa uhai wao wanatoa....unadhani watasema nini hawa magamba wa ccm ikulu.
 
Ikulu ndio mwenyekiti wa ccm anapoishi na serekali yake ndio imemlipua bomu mwangosi.........mungu katupa uhai wao wanatoa....unadhani watasema nini hawa magamba wa ccm ikulu.
Mikutano ya CCM wakati mwingine ufanyika pale, hivyo hakuna la kushanga kuhusu hali hii..!!!
 
Iseme nini wakati umeshasikia CDM itasambaratika soon!! huoni matamko ya polisi yalivyo ya jeuri na dharau: amechomwa na kitu chenye ncha kali au kitu kigumu!! Anayeua kwa upanga atauwawa kwa upanga.
 
Ni kawaida kusikia Tamko la kulaani au kupongeza, likitolewa haraka na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,inayoratibiwa na Bwana Rweye. Sasa ninahoji;
->. Kwanini Ikulu inakuwa kimya kuongelea, walau ku- sympathies maafa haya ya RAIA? Je kuna haki iliyokubwa zaidi ya KUISHI? Je Ikulu haioni umuhimu wa kesema chochote,hasa kwa jambo la msingi kama hili la mfululizo wa Mauaji ya Raia,tena chini ya POLISI? Au kwao (IKULU) Uhai wa walalahoi hauna maana ya kutolewa tamko? Nauliza tu!!

Tamko la nini wakati Ikulu haijatikiswa! Mpaka wa Malawi ukizembewa unaeza kuitikisa Ikulu na imetoa tamko.
 
wanapongezana bado,anapanga nafasi za vyeo kwa walifanya vizuri kwenye tukio hili,pia wale wa urimboka walikuwa hawajawapromoted,ndo anapanga nafasi nyeti,wakishapandishwa vyeo ndo atakuja kuchecheka kwenye vyombo vya habari.
 
NDUGU ZANGU NIMEINGIA KWENYE BLOG YA ccmchama.blogspot.com KUJARIBU KUSOMA NA KUONA MAONI NA MTAZAMO WA CCM JUU YA KIFO HIKI CHA KUSIKITISHA NA KILICHOACHA TAIFA KWENYE TAARUKI KUBWA LAKINI KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA SIJAPATA HABARI YOYOTE ILE ATA TANZIA INAYOHUSIANA NA MAREHEMU DAUD MWANGOSI
MY TAKE: TUWAELEWE VIPI?
 
Wanajipanga watoke vipi baada ya mzee wa kutengeneza uongo kutoka Area 255 Chagonja kutoka na singo ya kilichomua Mwangosi ni kitu kilichotupwa kwenye kundi la polisi, Senza naye.....Watu 32 wamekamatwa wakielekea Mbeya...Kazi kweli kweli sasa ikulu kigugumizi kimewapata kidogo wanatafakari watoke vipi.....the last option would be kuruka ukuta.
 
Tamko la nn wakati pongezi zishapelekwa kwa IGP kwa kazi nzuri.Saa imefika kila raia ajilinde mwenyewe kwani policcm waliapa kulinda raia au rais?
 
Tamko litakuja usiwe na shaka, ngoja ukamilike uchunguzi mpaka sasa inaonesha ni suicide mission.
 
Ikulu ndiye iliyoamuru Dr Ulimboka Atekwe na kuteswa, Ikulu hiyo hiyo ndiyo iliamuru mabomu na silaha za Moto zitumike kudhibiti maandamano na mikutano ya CHADEMA ....wakanushe kipi kwa tamko lipi?
Unajua Masanilo, bahati nzuri hata huko Ikulu bado wapo walio wazuri na wanaona mipango michafu ikipangwa kutekelezwa nao kwa vile hawawezi kuzuia wanafanya uzalendo wa kupenyeza habari hizo kwa makamanda.
Ndio maana lipi linapangwa pale ambalo halijulikani kabla ya utekelezaji wake au baada?
 
kwani TZ ina rais, kwani tz ina ikulu, mm siku hizi naona ni kijiwe cha watu wa mtaani kwenda kunywa chai, kupanga maovu na kuondoka kutekeleza. unadhani watatoa tamko gani wakati wao nao ni sehemu ya matukio hayo/????/
 
inasikitisha inaumiza na sijui inapanda mbegu gani kwa vizazi vijavyo kuhusu polisi na serikali yao,kwa kweli ifike kipindi wananchi tuungane kuing'oa serikali dhalimu madarakani
 
Back
Top Bottom