Hofu ya nguvu ya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu ya nguvu ya umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzamifu, Sep 4, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Tangu nchi za kaskazini mwa afrika kukumbwa na mapinduzi yaliyojikita zaidi katika kile kinaichoitwa nguvu ya umma yaani People's Powower kwa vyovyote nchi nyingine barani Afrika zinaweza kujenga hofu ya kukumbwa na hali kama hiyo.
  Hivyo kila inapoonekana dalili ya kuandamana au kukusanyika kwa makundi yoyote vyombo vya dola lazima vi-react kwa nguvu zote ku-supress such movement ili kuepusha makubwa zaidi. Je, yaliyotikea Arusha, Morogoro na Iringa yanaweza kutafsriwa kama matokeo ya hofu ya namna hiyo?
   
 2. t

  tenende JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nionavyo mimi mashambulizi makali ya jeshi la polisi dhidi ya CDM yanalenga: Kutisha wananchi na kuipa CDM taswira ya chama cha vurugu kama ilivyofanyiwa CUF na kutangazwa na IGP mwaka 2005 kwamba imeleta kontena lililojaa visu/majambia ya kuulia watanzania. Ndiyo maana kila mara wanaua watu na kuitwisha CDM lawama!...
   
Loading...