Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JUMANNE, SEPTEMBA 04, 2012 06:27 NA KHAMIS MKOTYA, LINDI MBUNGE wa Mchinga (CCM), Said Mtanda, amewataka wananchi wa jimbo lake kuhakikisha suala la gesi linaingizwa katika Katiba mpya. Mtanda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NI KUHUSU SHERIA KUIKWAZA TAKUKURU KUWASHTAKI VIGOGO WA UFISADI Kizitto Noya | Mwananchi | Monday, 20 August 2012 MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amesema...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jumatano, Agosti 29, 2012 05:59 Na Fadhili Athumani, Moshi MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Thomas Ngawaiya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu | Tanzania daima MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, amesema hana tatizo licha ya kutakiwa kujiuzulu na Kamati Teule ya Bunge, iliyopewa kazi ya kuchunguza mchakato...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Mon Sep 3, 2012 8:37am GMT DAR ES SALAAM, Sept 3 (Reuters) - Tanzania has delayed a licensing round for nine deep-sea oil and gas blocks previously set for this month until a parliamentary vote...
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Hizi ni sifa chache ambazo nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu tofauti humu Jamvini.., then I thought for such an innovative and interactive gentleman what is happening with communication at the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Riparian water rights Property law Part of the common law series Types Real property Personal property Acquisition Gift Adverse possession Deed Conquest Discovery...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
JUMANNE, SEPTEMBA 04, 2012 06:37 NA ARODIA PETER *Kilaini: Kwa nini polisi waue watu bila sababu *Ahoji uwezo wa askari polisi kudhibiti wananchi *Mchungaji Mwamalanga: IGP, Dk. Nchimbi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
viongozi wa vyama vya siasatunaomba muungane kuishinikiza serikal iwajibike kwa mauaji ya mwandishi wa habari kwa sababu msipofanya hivyo kwa sisi wananchi atuwezi kuwa na nguvu kama nyie...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Alipokuwa akiongea na waandishi wa habari siku alipoita mikutano ya uchangiaji M4C ya CHADEMA kuwa ni usanii mtupu, Nape alieleza kuwa CHADEMA wamepanga kufanya vurugu ktk mkutano wao wa Morogoro...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Daud Mwangosi Paul Chagonja Francis Dande, HabariMseto blog -- JESHI la Polisi nchini limeunda tume itakayochunguza kifo cha Mwandishi wa Habari wa Kituo cha...
1 Reactions
121 Replies
14K Views
sisi kama wa kristo ni lazima tupiganie katiba mpya iseme na itaje wazi wazi ushiriki wa madhehebu yote ya kikristo katika kutumia vyombo vya umma tbc.mwanzoni hili lilikuwepo lakini kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina kumbukumbu na picha ya mbunge wa Temeke alivyotoka gazetini akilia baada ya wajumbe wa NCCR-Mageuzi kunyukana kule Tanga. Mtemvu alinukuliwa akisema alihuzunishwa sana na hali iliyotokea kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za hivi punde kutoka Tanga zinadai familia ya ndugu wa Marehemu Ally aliyeuawa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wakati wakizuia Maandamano ya CHADEMA imeitisha mkutano na Waandishi wa...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
URAIS 2015 Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Jumanne, Agosti 28, 2012 08:28 *Vikumbo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wakati JK alikua anaulizwa maswali na waandishi wa habari, moja ya swali aliloulizwa ni kwamba anataka watanzania wamkumbuke kwa lipi atakapomaliza muhula wake. Naye bila kufikiri kwa kina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama bado mna kumbukumbu nzuri huyu Mama alikuwa mbele sana kutetea haki za Watanzania na Waaandishi wa habari, sijamsikia muda mrefu sasa, sijui yuko wapi? Angetufaa sana kwenye hiki kipindi cha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sehemu ya Mkutano Wa Chadema Reading M4C yavamia Reading - YouTube Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
0 Reactions
9 Replies
3K Views
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible. Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.
1 Reactions
89 Replies
7K Views
HUKUMU ya IGUNGA Leo..Kashinje Vs Kafumu, ....Kwakweli mpaka sasa hivi Mbunge wa CCM ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa Ushindi wa Kafumu. Kwani Bwana Magufuli, ambaye...
66 Reactions
969 Replies
81K Views
Back
Top Bottom