katiba yetu hii mbovu tuliyonayo inasema wazi,
"Uhuru wa Maoni, Sheria ya 2005 Na. 1 ibala ya 5 inasema"
Kila mtu
(a)anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake;
(b)anayo haki ya...
Chama cha mapinduzi CCM kimetoa ufafanuzi kuhusu hatua ambazo serikali ya chama hicho inachukua kukabiliana na mfumuko wa bei ya vyakula na mfuta.
Katibu wa itikadi na uenezi Nape nnauye...
Polisi kuua raia ovyo
Mawaziri kusema na kufanya wanachotaka, mara nyingine wakipingana
Ufisadi wa kutisha unaofanywa bila woga
Usalama wa taifa kutuhumiwa kila wakati kutia ndani utekaji wa raia...
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ameitaka serikali ya rais Kikwete iwajibike.
Akiongea na DW radio amesema jeshi la polisi haliwezi kukaa kando kutokana na kifo cha kijana DAUD...
Ndugu zangu,
Yanayotokea nchini mwetu yanatutaka sio tu tufikiri, bali, tufikiri kwa bidii. Lakini swali ni hili; Je, uwezo wetu wa kufikiri umepungua?
Yumkini si kwa aliyekuwa na ujasiri...
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv, eti lead stori ni kuahirisha kikao cha bunge kutokana na ajali ya meli,hivi kuzama kwa meli yenye abiria zaidi ya 200 na kuahirisha bunge ipi stori...
The Egyptian-African company for investment and development has decided to invest a total of US$400 million to establish two sugar mills, one in Sudan and the other in Tanzania, in order to meet...
Katika umri wangu ambao si haba nimeshiriki kuhesabiwa kwa miongo kadhaa. Katika miongo yote hiyo, sijawahi kuona zoezi lililodorora na kuborongwa kama Sensa ya mwaka huu. Wengi watakubaliana nami...
Secretary General of the East African Community (EAC) Amb. Dr Richard Sezibera has announced that partner states have committed themselves to a clear time table for removing all existing non...
hivi wanajamvi na wachambuzi wa masuala ya duru za kisiasa naomba kujua idadi ya TUME HURU na zitajwe toka dk Kikwete kuingia ikulu 2005,maana imekuw too much jamani
Mbunge wa Morogoro Mjini-CCM,Aziz Abood amekaririwa akisema kuwa vitendo vinavyoendelea kufanywa na Polisi Jimboni mwake,kurindimisha mabomu ya machozi na risasi ni kumpora Jimbo lake.
Taarifa...
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM...
Tumeshuhudia kijana akijitoa mhanga kule Tunisia na hatimaye kuliokoa taifa lake kutoka mikononi mwa masultani. Vifo vya wapiganaji Morogoro, Iringa, Mabwepande, Mbeya na Arusha yawe ni chemchemi...
Wenye habari zaidi watuhabarishe yanayojilia hiko Temeke, kwani uchaguzi UVCCM ni patashika ya nguo kuchanika na ile ya Nchimbi(ism) kuchukua mkondo wa kuiba na kukimbiza masanduku ya kura. Kazi...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa amesema wananchi wanapaswa kuwapima wanasiasa wanaotumia silaha wakati wa kuomba kura kama wanafaa au hawafai kuwa viongozi.
Lakini...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeeleza jinsi walivyoweka mtego na kufanikiwa kumnasa, Mbunge wa Bahi, Omary Badwel (CCM) na rushwa.
Akitoa ushahidi wake jana mbele ya Hakimu...
Kitendo cha Dr Slaa kummaliza kabisa Sitta kisiasa ni mbinu ya kisiasa ambayo Chadema wanategemea itawalipa baadae. Kwa mtazamo wa think Tank za chadema, kama ni urais 2015, ni afadhali kuwa na...
Dk ulimboka,kwa nini ulianzisha mchakato wa kudai haki za madaktari halafu umekimbia?au na wewe umeshakuwa fisadi?nani ataona tena matatizo ya hospitali zetu?umepewa kiasi gani mpaka umesahau...
Hiyo ni kutokana na Waziri wa Ndani, Dr Nchimbi leo alipoulizwa swali kwa nini siku ile ile ya kifo cha Mwangosi, CCM walifanya mkutano wa kisiasa kule Bububu Zanzibar, alijibu kawaulizeni Tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.