Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Ni katika ile staili ya woga ya serikali ya magamba, kila panapotokea kashfa inayowabana mbavu, basi hukimbilia kupeleka watu mahakamani, hata kwa chaji hafifu, ili tu vyombo vya habari visilizungumzie hio suala.
Take my words!
Take my words!