Ogopa sana wala usimwamini mtu/watu mwenye akili/elimu ndogo anafanya kazi zinazohitaji amri pekee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ogopa sana wala usimwamini mtu/watu mwenye akili/elimu ndogo anafanya kazi zinazohitaji amri pekee

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wild fauna, Sep 4, 2012.

 1. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni hatari sana kuwa na imani kwa mtu mwenye elimu ndogo tena amekubali kufanya kazi inayoongozwa kwa amri pekee.
  Polisi wengi ni form four failures,matokeo yake wanakua watu wakufanya kaz tuu kama marobot.
  Nashindwa kuelewa what if mng'esubiri mkutao uishe then muwakamate viongoz wahusika kama kuna sheria yeyote iliyo vunjwa?
   
Loading...