Afrika yaambiwa hakuna njia ya mkato kukabili ukuaji wa miji na makazi

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda, Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye pamoja na wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 6 wa kuboresha miji na makazi mjini Napoli Italia leo.

Katika mkutano huo, Umoja wa Mataifa umeweka bayana kuwa hakuna njia ya mkato ya kukabilina na changamoto za kukuwa kwa miji zaidi ya kuwa na sera madhubuti za kuboresha na kupanua miji. Mwanzoni mwa karne ya 20 ni 2% tu ya watu ilikuwa ikiishi mijini. Leo ni 50%
 
Ni kweli kabisa, kama serikali za Afrika hazitaongeza budget za sekta za Ardhi ili wataalamu wa plan miji na kuwa mbele ya maendeleo ya wananchi itakuwa kazi bure!!!
 
Back
Top Bottom