Redio DW: Watu 32 wamekamatwa wakielekea Mbeya kwenda kufanya vurugu

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Redio DW BON, imeripoti kuwa JEshi la polisi limewakamata watu 32 waliokuwa wakiend Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa. Pia Kuna watu waliokamatwa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi. Msemaji wa Polisi ameulizwa kuhusu kilichomuua Mwangosi, JIBU: Inasemekana anepigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike
 
Acheni upumbavu,unaweza ukawa haujui kusoma maandishi lakini hata picha inakushinda kuona.......rudini studio hiyo movie haijakamilika...vilaza nyie hamjui hata kudanganya.......
 
WAMESEMA 32 WAMEKAMATWA KWENYE BASI WAKITOKA IRINGA KWENDA MBEYA 'WALIKOENDA KUFANYA VURUGU'! NA WENGINE 7 WAKO NDANI TANGU JANA, JUMLA 39 KWA MUJIBU WA BW SENZO AMBAYE NI MSEMAJI WA JESHI LA POLIccm..
 
Sitoshangaa jeshi la polisi likiibuka na ramli kwamba waliokamatwa ni wafuasi wa Chadema!!

mwangos tulikuwa nae mara nyingi kwenye mikutano ya chadema na hapa iringa mjini anaheshimika na kupendwa na kila rika........wendawazimu wanaangaika...kama walivyofanya kwa ulimboka kumleta kichaa mkenya ili hawachomoki...bomu limemuua
 
WAMESEMA 32 WAMEKAMATWA KWENYE BASI WAKITOKA IRINGA KWENDA MBEYA 'WALIKOENDA KUFANYA VURUGU'! NA WENGINE 7 WAKO NDANI TANGU JANA, JUMLA 39 KWA MUJIBU WA BW SENZO AMBAYE NI MSEMAJI WA JESHI LA POLIccm..

Mkuu mbona hawa watu wanachefua hivi? Hebu CDM toeni tamko!! Kweli mtu atoke Iringa akafanye fujo Mbeya kuna nini? Au atoke Mbeya kwenda mkutano wa CDM Iringa? Na huko kwenye mabasi walikuwa wanafanya fujo? Acheni kutisha wananchi, acheni kutumia mbinu chafu mlio madarakani.
 
Na hao jamaa 32 wakishafikishwa mahakamani itakuwa si ruksa kulizungumzia swala hili. Sasa na sisi tukikubali hata kwa jambo lililo wazi hivi, basi tatizo litakuwa ni sisi wenyewe. Tunaomba wanahabari mtuongoze katika kulipigia kelele hili na kuwawajibisha wahusika wote kwa kuhusika kwao ama nafasi zao. TUMECHOKA SASA
 
usipoangalia polisi hawakawii kusema marehemu Mwangosi alijiua mwenyewe
 
MAWAZO NILIYONAYO MUNGU ANIZUIE... VITU VINGINE VINATIA HASIRA SANA JAMANI. TUMECHOKA SASA.. Enough is enough!!
 
Nategemea jina la Kamuhunda limo kwenye hao watu 32 waliokamatwa.

NB: Tujikumbushe 'mkakati-zilipendwa toka kwa polisi wetu' - watu wamekamatwa, watafunguliwa mashtaka, baada ya hapo watanzania wataambia wafunge midomo yao maana kesi iko mahakani.
 
Kama watu wenye heshima zao ndani ya CCM na Serikali hawataamua kuchuku hatua kuwaumbua hawa wahuni ktk chama,serikali na vyombo vya usalama basi machafuko yapo karibu. Kwanini hawa jamaa wanataka kuondoka Tanzania ikiwa mapande mapande? Ili iwe rahisi wageni kuvuna rasilimali zetu kwa urahisi?
 
Upuuzi mtupu kama ni kweli polisi wametoa taarifa hii!hv hawa jamaha wanatuona Watanzania ni watu wap.u.u.z.i kiasi gani?hawana watu wakufikishia habari jinsi Watanzania wanavyowachukia polisi na serikali ya c.c.m kwa sasa?
 
wanachi kweli tunadharauliwa na kuchukuliwa malimbukeni kweli inaingia akilini mauaji yanaonekana leo unakamata watu tofauti kabisa haina haja ya tume ushaidi upo kwamba police wanaonekana wanaua wakimpiga akiwa mzima wakimwacha akiwa kafa
 
Kumbukeni Mwandishi aliyeuwawa ni mtu wa Rungwe Mbeya , huenda kulikuwa na watu wanaelekea msibani kuandaa mazingira ndio wamekamatwa kama habari ni ya kweli , ngoja tuifuatilie
 
Mm naanza lipolisi lizee nakaa nalo jirani hata na manati nalitoboa macho yanakera.
 
Back
Top Bottom