Taneso mzumbe mbona umeme mmepeleka kwa wana ccm tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taneso mzumbe mbona umeme mmepeleka kwa wana ccm tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Man 4 M4C, Sep 4, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanesco Morogoro ilichangisha wananchi wa mzumbe gharama za service line na hatimayake umeme ulipelekwa kwa watu wachache tu. Mafundi walipopeleka nguzo hadi kwa wananchi wengine kilichotokea ni kwamba kada wa ccm alilipoti kuwa umeme kwanini upelekwe kwa wapinzani,mafundi waliohusika na kujenga laini walisimamishwa kazi na hadi leo hawajarudishwa kazini na nguzo zimebaki palepale.

  Swali:
  • Tanesco Morogoro ninyi mnafanya kazi ya kichama au ya wananchi wote walipa kodi ya tanzania?
  • Manager wa tanesco morogoro ulikuwepo kwenye kupanga,leo inakuwaje unawa/msimamisha mtumishi wako kazi kwa sababu ambazo hazina mashiko?
  • Je unaongozwa na wanasiasa?
  • Je unajua kwa kufanya ulichokifanya unakosesha taifa mapato?
   
 2. Kitimoto

  Kitimoto JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mlilipishwa swrvice line, si mnatakiwa muwe mumeungiwa umeme? Sasa imekuwaje? Risiti si mnazo?
   
Loading...