katika hali ambayo siku zote ilikuwa mbinu ya kujificha kukusanya watu
atimaye mbinu ya chadema imebainika baadaya kukutwa inapakia watu
kweye lori (katika picha)
Kutokana na mtu aliyenidodosa ni...
Wanabodi,
Zitto Kabwe mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Chadema na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Naibu Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
1. Mgomo wa walimu, wametumia walimu waliogoma na wameenda kupata pesa tu na sio sensa
2. Serikali kandamizi, ingeweza kuongea na waislamu wakakubaliana. mabavu sio suluhu
3. Mgawanyiko wa...
kimfumo watumishi wa serikalini wengi hawajui dhana ya uwajibikaji inafanyaje kazi ,tumeshuhudia matukio mengi yenye kutisha na hakuna kiongozi anatikisika kana kwamba walipanga iwe hivyo ,sisi...
Waraka mchafu wasambazwa
Katika hatua nyingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed, amewataka Waislamu nchini kutopumbazwa na ujumbe wa simu unaosambazwa na watu ukilenga...
Kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno...
Katika kile kinachoonekana kuwa familia ya Mbunge wa viti maalumu wilaya ya Nzega Mh Kigwangala ina matatizo ya asili, jana mdogo wake Lumola Maziku anaewania Uenyekiti wa Uvccm mkoa wa Tabora...
Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu juu ya umauti uliompata mpendwa wetu mwangosi kule Nyororo Mufindi. Kinachonisikitisha ni kwamba Magamba ambao wamekuwa wakijitanabaisha kuwa ni wapenda...
katika nchi hii ya watu vigeugeu, taifa lenye watu wenye tamaa na wanaojali maslahi yao binafsi kuliko ya taifa, ni lazima tukubali idadi kubwa ya vyama vya siasa, kwa sababu wapo viongozi wasio...
WanaJF
Ni ukweli ulio wazi kwamba watawala wanapata hofu kuu kwa sasa kila wakisikia neno CHADEMA.Hakika wanaweweseka.Kiwango cha umma kuunga mkono chama pinzani katika historia ya Taifa hili...
JUMAPILI, SEPTEMBA 02, 2012 07:44 NA ABDALLAH AMIRI, IGUNGA
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kutengua ubunge wa Mbunge wa Igunga, Dk Dalaly Kafumu, baadhi ya wananchi wamekumbwa...
======================
Tokana na wingi wa picha Update zote zimewekwa mwanzo wa habari ili kuhakikisha ujumbe unasomeka kwa wote
wenye niya ya kutambua nini kinaendelea katika msiba wa Marehemu...
CUF Bububu by-election legislator, Issa Khamis
WAKIMTAMBULISHA MGOMBEA UBUNGE ISSA KHAMISI
MBELE YA WANACHAMA WAO WAMESEMA CCM IMELITEREKEZA JIMBO HILO.
WAMEWAAMBIA WAANGALIE MFANO JIMBO LA...
Tumesahau mambo mengi.
1. Mjadala wa katiba:israel:
2. Hoja ikiwa hot bungeni swala la ulimboka linatukika , siku azigandi:yawn:
3. Bunge atujui mpk sasa wanapitisha nini:sleepy:
4. Chadema...
Katika kipindi hichi cha uchaguzi ndani ya CCM na jumuiya zake ni vyema UVCCM kama jumuiya mojawapo muzingatie yafuatayo, Mosi ni katika usaili wenu munaotarajia kuufanya tarehe 8.09,2012 kwa...
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya namna serikali hii inavyoendesha mambo yake. Pasipo na shaka nimegundua kuwa watanzania wamechoka na namna mambo yanavyoendeshwa hii ni kutokana na...
JUMATANO, SEPTEMBA 05, 2012 05:38 ADMINISTRATOR
*Mwenyekiti UWT agoma kuitisha uchaguzi
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ameitaka Jumuiya ya...
Kisa hiki si kigeni masikioni pa wengi lakini pia nishikuru ndugu yetu Majjid Mjengwa kwa kukiweka katika maandishi nami nimetumia maandishi yake kuwakumbushia watu.
Ndugu zangu,
Kuna kisa...
Ushauri wangu kwa CDM na wafuasi, mabadiliko yoyote makubwa ni lazima yawe na ukinzani mkubwa.., uvumilivu na kutokata tamaa unahitajika sana.ukiangalia historia za nchi nyingine ambazo utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.