Wanabodi,
Siku zote Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, wamekuwa wapingaji wakubwa wa serikali ya chama cha mapinduzi CCM imefikia wakati mpaka viongozi wa Chadema Dr. Slaa, pamoja na...
TUESDAY, SEPT 4, 2012LILE SAKATA LA WACHINA KUVAMIA KIWANJA NA KUANZA KUCHIMBA UDONGO KATA YA ILOMBA JIJINI MBEYA HILI HAPA
Kenneth Mwangamba ambaye ndiye anayedai kulimiliki eneo la...
JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema limepata taarifa zinazoonyesha kuwa, Jeshi la Polisi Mkoani Iringa, lina mpango maalum wa kuwashughulikia baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa...
Huo ndo ukweli usiyoweza kupingwa na mtu yoyote aliyejaliwa kuwa na ufahamu wa kutosha, kutokana na nguvu kupita kiasi , mauwaji ya morogoro na Mwandishi wa habari D. Mwangosi yanaonyesha wazi...
CCM ni chama kilichoiongoza Tanzania virtually miaka yote tangu tumepata Uhuru, ama kwa joho la TANU/ASP au kama CCM. Kwa bahati mbaya, nchi hii imekuwa inarudi nyuma miaka yote amabyo tumekuwa...
After years of resisting voluntary repatriation efforts, tens of thousands of Burundians in Tanzania now face a deadline to leave by the end of 2012, following a decision to put a formal end to...
ONLY IN TANZANIA - Ni Aibu, tuondoe aibu hii sasa.
Yapo Maajabu mengi sana...Ila maajabu haya ni moja ya mambo yaliyonisukuma na kuona kuna haja ya mimi, familia yangu, ukoo wangu na marafiki...
Kulikuwa na kipindi asubuhi hii kinaongelea kama Kifo cha mwandishi huyu ni cha bahati mbaya au kimepangwa.
Hicho kipindi kiliwekwa katika vipengele, pia nipo kukitazama na nilikuta Mkuu wa...
Asema baada ya mazungumzo na IGP wamekubali kusitisha mikutano yao ya M4C kwa muda wa siku 3, ili kupisha zoezi la sensa kukamilika kutokana na muda ulioongezwa,
Yule kamanda wa polisi mkereketwa Na 1 wa CCM, Suleman Kova, afanye weledi katika kazi yake kwa kuutangazia umma ile kamati yake ya kipolisi ya kuchunguza sakata la kutekwa na kupigwa kwa Dr...
Leo Jumanne tar.28-08-2012 majira ya saa4 hivi za ASUBUHI chama chetu cha ADC kilichojizolea umaarufu mkubwa katika Nyanja za Siasa NCHINI Tanzania hata Kabla ya kuanza rasmi kazi za kisiasa...
Eti niliona swali la kipima joto juzi ITV kwamba kuongezeka kwa mauaji katika mikutano ya vyama vya siasa ni kukua kwa demokrasia nchini???
Kweli jamani mtu anayetengeneza au kuhariri mada hizi...
Najaribu kutafakari uongozi huu wa awamu ya nne na jinsi watu wanavyouawa na ndipo napata picha kuwa uongozi huu hauna tofauti na ule wa idd amini au wa mobutu seseko wa zaire.
Hii picha naona...
Wanajamvi imethibitika kuwa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington DMV imekumbwa na kshfa ya kuchukua pesa za Chadema ili wafanye sherehe wakati huo huo siku hiyo hiyo ili kuvuruga mkutano...
KATIKA hali inayoonyesha watawala wamedhamiria kuigeuza nchi hii dola ya kipolisi, jana Jeshi la Polisi liliua mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, Daudi Mwangosi...
JANA polisi walizuia chadema kufanya mikutano Iringa kwa madai wamezuia mikutano ya siasa kupisha zoezi la sensa lakini wakati huohuo CCM Jana imezindua kampeni Zanzibar kama inavyoenekana...
Mustapha Kapalata, Nzega na Frederick Katulanda, Mwanza | Mwananchi - Sept 01, 2012
SAKATA la makada wa CCM, Hussein Bashe na Dk Hamis Kigwangalla kutoleana bastola, limechukua sura mpya baada ya...
Tanzania,safari ya kudai ukombozi si lelemama.Safari ya kufikia maendeleo ya kweli si kazi rahisi.Historia inatufundisha kuwa ingawa tawala dhalimu nyingi hazikudumu madarakani,lakini haikuwa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa amemshukia vikali Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta kuwa ni mnafiki na asiyefaa kuaminiwa na jamii.
Hana Ujasiri
Haini
Mnafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.