Kuna sababu ya kusubiri 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna sababu ya kusubiri 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Technician, May 31, 2012.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chadema arusha 2015.jpg
  ARUSHA 2012
  chadema Dar may 2015.jpg
  DAR-CHADEMA SQURE 2012
  chadema mtwara_thumb[2].jpg
  MTWARA MASHUJAA 2012

  Sioni sababu ya kusubiri tukiendelea kuibiwa
  mpaka 2015 wataacha deni kubwa sana la Taifa.
   
 2. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuwa makini ndugu, hujasikia muuaji wa mwenyekiti wa cdm arumeru amekamatwa na amesema waliomtuma ni akina nani kwa ujira wa 2m?
  Wakimzidishia mara 2 na kumuahidi 4m atakutoke huko unakotolea wazo zuri kama hili!
   
 3. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kusubiri ni muhimu kama ambavyo ilivyo ukitangaza ndoa lazima siku 21 zipite ndipo ifungwe kama hakuna pingamizi.
  Wakiiba wanajiongezea uwezekano wa kufa kwa shinikizo la damu,kisuklari ama kufia Segerea mahabuuuusuni,ama kifo cha ugenini kiletwacho na kiharusi-stroke kama Mobutu na Idd Ammin
   
 4. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ingawaje waswahili wanasema Mambo mazuri hayataki haraka,mi natamani hata sasa uitishwe uchaguzi,laniki tunataka wakimbie wenyewe....mbona bado mkuu wangu hao ni cha mtoto
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe bado hujui kasi ya wizi inavyokuwa kwa kasi ya ajabu.subiri
  kikao cha bunge la bajeti kama kitamalizika kwa usalama.
  fikiria bado Ripoti ya CAG 2011/2012 haijasomwa bungeni na
  wezi bado wako kwenye baraza la mwaziri,wako bize wanatafuta
  nyumba za kununua ulaya na afirka kusini.
  kalagabaho
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mnataka kuchukuwa dola kwa nguvu ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la wananchi na lile la kulinda nchi.
   
 7. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Big up CDM mpaka kieleweke, CCM wanakula vumbi tu
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunafuata utawala wa demokrasia
  wananchi ndio waamuzi wa nchi yao.
  wao ndio wenye maamuzi ya mwisho.
  sio kuingia ikulu kwa nguvu.
  kura ya maoni tuu inatosha mkuu ritz.
   
 9. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli urais ungekuwa ni nyomi,hizo nyomi ni za kufa mtu. ila demokrasia ina gharama yake na gharama ni pamoja na hii..,nchi haina rais lakin inabid tu tusubiri kalenda iandike oct 2015. Otherwise..,let's suffer the consqnce of waiting. Bad enough...,the mo we wait the worst the country bcome!
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nyinyi ni wepesi mno....pamoja kuwa mnamajeshi,Lakini hakuna zaidi ya NGUVU YA UMMA
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu ritz tumekusikia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. A

  AZIMIO Senior Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yule Muuaji wa Arumeru amekamatwa,una taarifa hiyo?
   
 13. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Kuweni na subra jamani huu ni mwanzo
   
 14. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitapenda kuona CHADEMA inachukua nchi kwa kumwaga damu hata kidogo. Watanzania sasa wanajua ukweli kwa mwamko huu wa MTWARA NA LINDI ambako waliweka zengwe kubwa kabisa kuwa sio kaskazini nadhani sasa wanajua kinachoendelea na muda si muda watakimbia wenyewe.
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Jsrehi gan hilo unaloliongelea ambalo litashinda nguvu ya umma? Kumbuka misri! Kumbuka Luddism na chartism movements kwenye industrial revolution kule british in karne ya 18, nadhan mapaka hapo utakuwa umepata jibu kamili kuhusu nguvu ya umma.
   
 16. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,030
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya umma my feet..hivi nyie wajinanisha na waarabu.?wale sekeseke iko kunako damu.ingekua kila mtu anaweza ,occupy newyork wangeshafanikiwa.
  Suala la chadema kushinda 2015 is a POLITICAL WETDREAM .endelea kuota
   
 17. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,030
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya umma my feet..hivi nyie wajinanisha na waarabu.?wale sekeseke iko kunako damu.ingekua kila mtu anaweza ,occupy newyork wangeshafanikiwa.
  Suala la chadema kushinda 2015 is a POLITICAL WETDREAM .endelea kuota
   
 18. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Una uhakika na unachokiongea? Kipi kinakusukuma, je sio hisia zako? Uko tayari? Umejiandaaje?
  Jamaa alijisifia ujasiri na ushujaa, haogopi simba, nyoka, chui wala mbogo. Mara akadondokewa mjusi, kilio chake hadi mtaa wa pili!
  Tungekuwa hatujafunga ndoa ya kinafiki na wazungu (UN), ya Demokrasia, tungeweza! Ndio maana sikubaliani na mfumo huu, na yeyote aliyomo humo kwangu ni mnafiki, na msaidia ukoloni Afrika...wakiwemo chdm, ccm, cuf, na upuuzi mwingine kama huo!
  Mungu wetu anaita!
   
 19. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ingefaa wanaJF tujadili suala la kusubiri hadi 2015 kwa kutazama Katiba yetu ya sasa.

  Kwanza tutazame uwezo wa Bunge kumshtaki Rais, na sababu zinazoweza kumfanya Rais ashtakiwe:

  Ibara Na. 46A (2)(a), inasema: Kama Rais 'ametenda vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma' anaweza kushtakiwa na akishindwa katika mashtaka ataondolewa madarakani.

  Hapa kuvunja Katiba kunaweza kuwa ni kutochukua hatua dhidi ya viongozi au wateule wake ambao imedhihirika wamekwapua mali ya umma (e.g. EPA, Richmond, Meremeta etc);
  Kuvunja Sheria ya Maadili ya Viongozi ni huku kujirundikia ama kwake binafsi au kwa familia yake, mali kiasi kisichoelezeka.

  Taratibu zinazofuatwa na Bunge kumshtaki Rais zimeelezwa katika Ibara 46A (3) (a) na (b). Taratibu kama hizi zilifuatwa juzi juzi na Mhe. Zitto Kabwe alipotaka Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani kwa Waziri Mkuu.

  Inavyoonekana kama M4C itaendelea na momentum ya sasa, na CHADEMA kitaendelea kuvuna wanachama kwa "magamba kuvuliwa na magwanda kuvaliwa", basi wakati wowote mwaka wa 2013 au 2014, itawezekana kupitisha motion of no confidence in J.K.

  Kwa hiyo ili kujibu swali "Kuna sababu za kusubiri 2015", inaweza kutamkwa kwamba hakuna sababu. Pia inawezekana kwamba kama J.K. ataona mambo yamwendea mrama, anaweza kuamua kujiuzulu mwenyewe kabla ya Bunge kufikia hatua ya kutokuwa na imani na yeye. Akifanya hivyo ataweza kuendelea kula pension na kupata marupurupu mengine yanayohusu Rais mstaafu.

  Nimeandika hii thread kwa vile inaonekana wanaJF wengi wanadhani ni lazima Rais akichaguliwa awe Rais kwa kipindi chote cha miaka 5. Katiba yetu inatamka wazi wazi kwamba Rais anaweza kuvunja Bunge na kuita Uchaguzi Mpya wakati wowote. Maoni yangu ni kwamba kama Rais anashindwa kuongoza nchi basi ndio wakati wa kuondoka.
   
 20. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hata hiyo 2015 kitakachoongea ni Ballot Box hata Mtikila, Mrema, CUF NCCR walijaza watu nashauri bora pori kwa pori uchague sasa hivi km inaujua mlio wa AK-47 au LMG
   
Loading...