Ndugu wana JF, tumezidi sana kumkosoa Ndugu yetu, Ist Class Economist, bila ya kumsaidia kimawazo na fikra. Mh kama alivyosema Bungeni,"nilipata alama za A+ under/graduate school, lakini tangu...
Pongezi kwa Serikali na tume ya Katiba Mpya
Katika hitimisho la Katiba naomba na haya yazingatiwe:
1.Wakuu wa mikoa wachaguliwe na wananchi kila baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi mkuu na...
Kutokana na madiwani wengi kuwa na uelewa mdogo wa mambo wizi na ubadhilifu unafanyika bila hata wao kujua nini cha kufanya hivyo ni vema wakawa na elimu ambayo inaweza kuwawezesha kutambua mambo...
Nikiwa Kigoma lilipita gari likitangaza kuwa manispaa imekamilisha upimaji wa viwanja katika maeneo ya Kibirizi na Bushabani kwa ajiri ya makazi na biashara hivyo kuwataka wananchi wachukue form...
Nasita kukuita mheshimiwa kwa sababu hujawatendea haki wananchi wa jimbo la kalenga, hasa kata ya Nzihi...tunaona aibu hata kusema tuna mbunge ambae ni waziri wa fedha....umekuja kutembelea vijiji...
Itakumbukwa kuwa makamanda kutoka Mbeya walijitolea kwa ghalama zao kwenda kuongeza nguvu katika vuguvugu la M4C kwa kutoa elimu ya uraia katika vijiji vyote vya mkoa wa Morogoro, kwa mafanikio...
Home Makala Siasa ADC: Kitaweza kuvunja nguvu ya Chadema, CUF?
ADC: Kitaweza kuvunja nguvu ya Chadema, CUF?
Send to a friend
Wednesday, 05 September 2012 13:38
•Dira ya...
chadema mipango yenu ya makusudi na mnyayo iita ya kimkakati ikiwamo na mipango ya siri, kwa kushirikiana na baadhi ya maaskari polisi ili kufanikisha maslahi yakisiasa kama tuonavyo sasa, chadema...
Bila shaka polisi wamelivurunda hili ile mbaya, hasa baada ya kumuuwa mwandishi. Matokeo yake ndiyo hayo yanayoonekana, kila mtu, taasisi mbali mbali binafgsi, vyombo vya habari etc wamelilaani...
Wana-JF,
Baada ya kutazama mkutano wa Chadema uliofanyika Jangwani (26.05.2012) na wa CCM leo tarehe 09.05.2012,nimejifunza kwamba CCM imechokwa na wananchi walio wengi, hivyo CCM imebaki ikitumia...
Ndugu zangu,
Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni...
Itakumbukwa tarehe 02/09/2012 katika operesheni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa kulitokea vurugu zilizosababisha kuuawa kwa mwanahabari mzoefu Ndg. Daudi Mwangosi na...
katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja anayejulikana kwa jina moja la songela amepinga na kudharau agizo la mkuu wa wilaya ya Iramba lililomtaka atoke kwenye nyumba katika kipindi kisichozidi...
Katika hatua ya kushangaza, RPC wa Morogoro amekana askari wake kutumia silaha za moto wakati wa kuzima maandamano ya chadema yaliyofanyika mkoani Morogoro leo.Alisisitiza polisi kupiga mabomu ya...
Ndugu zangu wana JF salaam wote,
Ndugu zangu naomba nianze kwa kusema kwamba kuung'oa mbuyu wenye umri wa miaka 50 si kazi ndogo ni kazi kubwa sana.Mbuyu wa umri huu ambo mizizi yake imeshajika...
katika katiba mpya polisi iwe Tanzania police service na sio kama ilivyo sasa kama Tanzania police force ,iwe taasisi ya hudumaa ya uma badala jeshi nakuwa chini ya amiri jeshi mkuu .rais .kama...
CDM Ni SAUTI ya wengi wasiokuwa na SAUTI.
Viongozi wengi walio jifungia Ikulu na kusikia tu sauti nzuri za wapambe na kushindwa kutambua sauti ya wengi niipate vipi, WAMEANGUKA bila ya kujua...
Msijikite sana kwenye kutoa matamko imarisheni chama, hakikisheni polisi hawafanyi vurugu mikutano ya chadema maana watu wavivu kufikiria vurugu ikitokea wanafikiria ni CCM tu. Kuweni bize na...
Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Ruangwa Mkoani Lindi,inatuahabarisha kuwa watu wapatao 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Chimbila (MNACHO) Wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.