Mgimwa soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgimwa soma hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Az 89, Aug 25, 2012.

 1. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nasita kukuita mheshimiwa kwa sababu hujawatendea haki wananchi wa jimbo la kalenga, hasa kata ya Nzihi...tunaona aibu hata kusema tuna mbunge ambae ni waziri wa fedha....umekuja kutembelea vijiji vya kidamali na Magubike unawadanganyia Mpira na jezi huku wakiwa na shida kubwa ya maji, miundo mbinu mibovu, rushwa..kutosomwa kwa mapato na matumizi...yote hayo hujali sababu wewe unaishi Dar...kile kijiji cha Nyamihuu wameapa kwa mizimu ya babu zao usikanyage kipindi cha kampeni maana umeshindwa kuwatatulia shida ya maji japo kuwanunulia jenereta wavute maji...maana kuna kisima pale cha kuweza tumiwa na vijiji 3 tatizo umeme, we umepuuza umeleta jezi, mi nakusaidia kama wasaidizi wako hawajakwambia basi huku shida ni maji MGIMWA!! Najua utasoma tu huu ujumbe...
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Tatizo hamchagui wanavijiji wenzenu wawakilishe. Mnawachagua wakazi wa Dar wawakilishe tena wakazi wenyewe wanaishi Obay. Wao wanadhani shida zenu ni mipira tu na jezi na hizo ndizo walizozileta wakati wa kampeni na mkawachagua sasa zimeisha wanawaongezea tabu iko wapi? Next time chagueni wakulima na wawindaji wenzenu wawawakilishe wao wanajua shida zenu kuanzia ukosefu wa zana za kilimo hadi zana za uwindaji.
   
 3. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mgimwa ni (kisimba)digidigi na mimi ni mbwa'yi-kimbilage,nimeshamchosha,pigeni kazi moja1,nayo ni kuondoa matumaini kupitia ccm.NAWATAKIA KILA HERI KTK MAANDALIZI YA KUIKARIBISHA M4C.NAJUA NGUVU YA NZIHI,ULANDA,MAGUBIKE,WERU,TOSA,TANANGOZI,ULETE,WASA,KALENGA,MANGALALI NA MAGUNGA PAMOJA NA SEHEMU NYINGINE JIMBO LA KALENGA 2015 TUTASUKUMA MLEVI KIULAINIIIIII*10MILLIONS.
   
 4. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hilo ndo swala la kujutia..japo sikumchagua lakini wale aliowapatia tshirt,kofia,elfu 2 na doti za vitenge zimeshakaa huku yeye akipandisha maghorofa, Vx ya maana na mshahara wa bure.....huyu jamaa nashindwa kumtofautisha na yule mdudu tunamwita"Parasite"...manake anatunyonya na hana faida...next time bora hata mwindaji
   
 5. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Bora uje huo upepo uezue hili paa maana linatupa umaskini wa kutupwa
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ulonzile hilo Muvina.THERE IS NO LELEMAMA IN KALENGA 2015.TUTAFIKA,KWETU KALENGA IBANGAMOYO,UFYAMBE,USENGELINDETE,TOSA NA ULANDA.KWA NGUVU YA UMMA NAJIVUNIA.
   
 7. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kWANI YEYE WAZIRI WA FEDHA WA KIDAMALI, WACHA HIZO mnataka aibe kwa ajili yenu tu
   
 8. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Great thinker unatuaibisha,being minister there's an additional personality of ceiving beyond.Cheo ni dhamana mkuu.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nadhani waziri Mgimwa ninavyomfahamu mimi ni mtu wa busara ,atakuwa amesoma kilio chenu na hilo jenereta atawaletea huko kijijini ili mpate maji!
   
 10. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  khayanda unantafutia ban kwa invisible,, hatujali huo uwaziri wa fedha aliopewa, bali anapaswa kututumikia sisi wananchi wake hata kama sikumpa kura yangu, kwa sasa ni mbunge wangu na ni wajibu wangu kumkumbusha, mgimwa najua umepita mahali hapa basi tunaomba utekelezaji
   
Loading...