....Mwanasheria wa CHADEMA kamanda Lissu amesema kuwa si halali waziri kuunda tume maana hana mammlaka hiyo hasa kwenye matukio ya kifo zaidi ya raisi wa jamuhuri ya muungano. Amesema CHADEMA...
Wanabodi,
Mda si mrefu kupitia television ya EATV (chanel 5) kutakuwa na mada inayosema...JE SIASA ZA MALUMBANO NI UKUAJI WA DEMOKRASIA? Kipindi kitaendeshwa na Dada Prudence wa 5 CONNECT from...
Kwa mjibu wa taarifa ya habari ya saa moja leo asubuhi Kamishna wa Sensa amesema sheikh Ponda pamoja na makeke ya kupinga zoezi la sensa alisalimu amri na kukubali kuhesabiwa.
Kwanini hakutumia...
Nampa Saluti Warioba
Nyerere alimuachia Mwinyi urithi wa waziri mkuu Warioba. Mwinyi akampiga chini, akam-demote na kumpa kauwaziri fulani (kazi kama sikosei). Tangu hapo maadili katika uongozi...
Nguli wa siasa nchini na kada mashuhuri wa CCM Balozi Job Lusinde amevunja ukimya na kusema kuna kila dalili kwamba CDM inakaribia kuchaguliwa na wananchi kuongoza dola ya Tanzania.
Mkongwe huyo...
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa
Inasikitisha panapotokea mauaji ya kinyama kwa raia mwenye fani fulani kuona ni jumuiya ya wanafani hiyo tu ndiyo inabebeshwa msiba wa kifo hicho. Utamaduni huu ni mpya kwa jamii ya Kitanzania...
Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya Mwangosi kuuawa, polisi...
Ajabu ni kwamba, ili mahakama haki ya umoja wa mataifa ni lazima nchi zote mbili kwenye mgogoro zikubaliane kuwa kesi hiyo ipelekwe, yaani free concent of both state parties to the dispute lazima...
Hizi ni baadhi ya Sifa za kujiunga na Vitengo mbalimbali vya kipolisi kwa Marekani..
Federal Law Enforcement
*Minimum age is usually 21.
*Possess a valid driver's
license.
*Have a 4 year...
Nimetafakari sana kauli ya Waziri wa mambo ya ndani, Nchimbi, alipoulizwa na waandishi wa habari iweje mikutano ya CCM haikuingiliwa na polisi siku hiyo hiyo Chadema walipopigwa Iringa na...
Mh. Lissu, Mfunge Paka Kengele
Nimeshangazwa sana na hatua ya Mh. LISSU ya kuvunja Kanuni za Bunge na kutawanya katika magazeti kile alichokiita utetezi wake bila kujali haki asilia ya wale...
DIWANI WA MAGAMBA ALIYETOA KINGI NA KUPATA KURA NYINGI MUSA KINGU ALALAMIKIA NJAMA ZA KUMUENGUA KWENYE KAMATI YA SIASA YA MAGAMBA YA MKOA. Taarifa za ndani zinasema msela amekamiwa kuondolewa kwa...
MAZISHI ya Mwandishi wa Habari, Daud Mwangosi yalifanyika jana katika Kijiji cha Busoka kilichoko wilayani Rungwe, Mbeya na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Waziri wa Nchi...
Leo wakati naangalia taarifa ya habari channel e niliona habari ambayo ilinivutia. Kulikuwa na mamia kadhaa ya waandamanaji ambao walikuwa wakisindikizwa (in fact being closely watched) na mamia...
Waziri Mkuu mstaafu (aliyejiuzulu), Edward Lowassa akinyoosha juu fimbo ya ishara ya uongozi (Laigwanan), kuashiria upigaji kura ya kukubali maazimio yaliyopitishwa baada ya kikao cha siku mbili...
inaelekea baada ya kuona awaiwezi kasi ya chadema uksukwa mpango wa kuwauwa mashabiki wa cdm. wakaambiwa polisi hakikisha mnavuruga mikutano na kwenye vurugu ua angalau mwananchi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.