Watu sita wahofiwa kufia mgodini Lindi mara baada ya kufunikwa na kifusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu sita wahofiwa kufia mgodini Lindi mara baada ya kufunikwa na kifusi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 6, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,528
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Ruangwa Mkoani Lindi,inatuahabarisha kuwa watu wapatao 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi wa Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi.

  Jitihada za kuwaokoa watu hao zimekuwa zikiendelea japo zinaendelea kufanywa katika hali ya ugumu kutokana na Ukosefu wa zana/vifaa vya kuokolea.

  Hadi muda huu Kufuatia harakati hizo ni Maiti Moja tu ndio imeweza kupatika.....

  Globu ya Jamii inaendelea kufuatilia tikio hilo kwa ukaribu na Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia hapa hapa.

  Chanzo: Michuzi
   
 2. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  R.I.P marehemu wote!
   
 3. M

  Mbunge wa ilula JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Poleni sana wahanga wote wa tukio hilo
   
Loading...