Kuna tetesi Nape na Mwigulu wameandaa mkutano Igunga ambao utahutubiwa na vijana hao siku ya Jumapili 09/09/2012.
Cha muhimu wananchi wa huko wategemee nini kipya kutoka kwa hawa jamaa kama sio...
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza...
Kwenye taarifa ya habari ya TV karibu zote ameonekana Mh Hawa Ghasia akiongea na Wanahabari kuhusu Waziri Mkuu kuwatimua kazi Wakurugenzi wa Halmashauri kadhaa na kuwateua wengine na wengine...
SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi kumuua kinyama mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, baadhi ya askari waaminifu wamefichua siri za mauaji yanayofaywa na jeshi hilo...
Mkutano wa DCI wavunjika
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba hakutaka kuzungumzia suala hilo akisema: Hayo yote yameundiwa tume ngoja tuiachie ifanye kazi yake....
Ndugu watanzania wapenda Amani,
Naandika haya kwa masikitiko makubwa sana baada ya kushuhudia jinsi serikali ya nchi yetu inavyowatafuna wananchi wake hadharani na kudhani kuwa watanzania wote...
Napendekeza katiba mpya iwe na baraza la kitaifa lenye wajumbe wazalendo, wasio wanacahama wa chama chochote cha siasa ili baraza hilo lihusike na kutunga sera na vipaumbele vya taifa. kazi ya...
Pamoja na kwamba mikutano ya katiba itakuwepo. lakini sio watu wote watapata mic kwa ajili ya kutoa maoni. Usashuri umetolewa kwamba kila familia (baba, mama, na watoto) ikae, ijadili, na kuandika...
Wana jf hebu mnisaidie,inakuwaje hawa viongozi wa serikali wanaapa kwa katiba ya JMT harafu wala hawaisomi ili waenende sawasawa nayo,mara ngapi Mhe.Lissu amekuwa akiwaweka sawa mawaziri na...
Anauliza eti kwa nini CDM hawakusubiri hadi sensa iishe, Anasema harakati hawakuanzisha CDM duniani, Pia anasema harakati za Mwl. Nyerere hakufa mtu hata mmoja. Anatoa sababu nyingine nyingi za...
Wajameni, katika pita pita yangu kwenye mtandao nimekutana na maoni yafuatayo ya mtanzania mmoja juu ya katiba mpya;
Yafuatayo ni maoni yangu;
1. Rais apunguziwe madaraka katika uteuzi wa...
NImesoma hii article ya BBC, nafikiri Tanzania inaweza kujifunza kitu hapa. somani link
BBC News - South Korea in military drill near disputed islands
South Korea in military drill near disputed...
Naomba IT watutengenezee "voting forum kama hii... https://secure.avaaz.org/en/save_the_maasai_a/?afASrdb" ili watanzania wote wapenda amani duniani tupige kura kuhimiza kesi hii kufunguliwa ili...
Kuna maswali mengi miongoni mwa Wanachadema katika majimbo ya Muleba Kusini, Kaskazini, Bukoba vijijini, Nkenge na Bukoba mjini kuhusu nani wa kuwatoa wabunge walioko sasa katika uchaguzi wa 2015...
Tangu nchimbi amechaguliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kumekuwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu na kuwahalalishia wakenya ambao sio raia kupata uraia.mfano antony ngoo na mwanae davis ngoo...
Wengi tumekuwa tukistaajabu kwa umasikini unavyozidi kulisulubu taifa letu, unaweza kuwadhani baadhi ya Watanzania kama vile walikuwa uhamishoni kwa jinsi wanavyo lalamika kwa ugumu wa maisha...
Ufisadi,mgawanyiko wa chama,kilio cha walala hoi,uhaba wa madarasa na madawati,huduma mbovu za Hospitalini,migomo ya wafanyakazi wa idara mambimbali,mauwaji ya raiya wasio na hatia,migomo na...
IMEBAINIKA kuwa mwenendo wa mauaji yanayofanywa na Jeshi la Polisi katika mikutano na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni mkakati wa makusudi uliosukwa na watawala ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.