Tutathmini: Mpango wa polisi kuichafua CDM kule Nyololo ulifaulu au umezidi kupandisha chart chama?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Bila shaka polisi wamelivurunda hili ile mbaya, hasa baada ya kumuuwa mwandishi. Matokeo yake ndiyo hayo yanayoonekana, kila mtu, taasisi mbali mbali binafgsi, vyombo vya habari etc wamelilaani jeshi la polisi na serikali ya CCM kwa mauaji hayo na katika hilo magazeti, radio na TV binafsi zimefanya kazi zao barabara kuonyesha uovu wa polisi.

Waliokuwa upande wa polisi kama kawaida ni taasisi zote za serikali ya CCM na viongozi wake ambao hulipwa na serikali ya CCM. Hawa ni pamoja na Tendwa, Nchimbi, Manumba, Chagonja, Kamuhanda nk.

Naweza kusema reaction ni 85% to 15% in against the CCM govt.

Mnasemaje wengine?
 
Wamezidi kujivua nguo wao maana wananchi sasa wanajua njama za ccm kuifuta cdm!

Yan wamefanya hamasa ya wananchi iongezeke!
 
... a time when an ill-motivated political strategy boomerungs or backfires on the originator; ooh my Goooooooooood!!!!!!!! Mungu si Athumani, mkuu.
 
Hizo 15% zao ni nyingi sana. Maana wanavyojichanganya kwa uongo, zinakuwa negativ kwao na kujiongeza zenyewe huko kwenye 85%
 
yaani mwisho wa kitu ukifika hata iweje huwezi ukzuia,ukweli ni kwamba mwisho wa ccm umefika so no way out
 
John Tendwa ndo kaipayisha chadema juu, ndo kaimwagia petroli M4C Moto huoooooo!
 
Kadri magamba wanavyopanga uovu wao,wanazidi kuumbuka na wananchi kuzidi kuyachukia magamba.Mungu endelea kuyaumbua hivyohivyo.
 
Hii inaonyesha kuwa kama Mungu amepanga kuwainua Chadema hakuna wa kuwastopisha hata kama wauwe kila mkutano lakini kwa kuwa Mungu yupo na WanaChadema hakuna watachofanya na mwisho wa siku hata wale wasiipenda Chadema kina Tendwa watasimama na kusema Chadema wana haki.Chadema walianza na Mungu na watafanikisha kazi pamoja na Mungu,Mungu wabariki viongozi wa Chadema pamoja na wafuasi wake.Kwa hapa CCm magamba na PoliceCcm wamkwisha hawatoki kwa hili licha ya kuwa mauaji yote ndio wanatekeleza lkn hili la muandishi ndio limewafanya watu waelewe hata wale ambao hawaamini kuwa Ccm na Police ni wateka nyara wauaji nk watakuwa wamepata atleast 60%ya kuamini maake kuna watu hawaelewi labda wataelewa kuwa CCm N police ni wauaji pale tu Bwana Yesu atakaporudi na kuwaambia hee nyie hebu amkeni CCm Mgamba wateka nyara wezi pamoja na Policeccm hapo ndio watatia akili.Ole wao Ccm na Police 2015 sio mbali
 
ni kweli, umaarfufu wa CDM unaongezeka kila wakati CCM na polisi wake wanapojaribu kukifinya. Hivi watu hawa kwa nini hawtaki kukubali kwamba ni viguma kuishinda nguvu ya umma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom