Mjengwablog Na Hoja Ya Kugomea Habari Za Kipolisi...

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
kweli nimeamini waandishi habari ni wahuni.ina maana matamko yote yaliyotolewa maggid wewe hauyaungi mkono? hakuna asiyejua kuwa zinahusu jamii,bali lingekuwa fundisho kuwa polisi inawahitaji waandishi inayowauwa.umejiaibisha wewe binafsi na fani nzima
 
lazima utakuwa umetumiwa bahasha na magamba. wenzio wana habari iringa wamegoma wewe unasaliti wenzako ! ofcourse nilitegemea watu wa aina yako, maana njaa kitu mbaya sana!
 
Huyu mheshimiwa nilikuwa napendelea kusoma maandishi yake, lakini sasa naanza kumuwekea Question mark...!
 
Hii itakuwa VIGUMU I mean haitawezekana WAANDISHI WETU ni CCM in LOVE; Yaani kweli UTAMWAMBIA MICHUZI na

NDUGU ZAKE WAIGOMEE KUANDIKA HABARI ZA POLISI WA SERIKALI YA KIKWETE? Na Unajua Vitrip anapata Vya

kutosha Nje ya Nchi? Kweli Utasema MENGI na TV na RADIO yake Isiandike ya POLISI WA KIKWETE wakati anaalikwa PARTY

ZOTE KUBWA IKULU Wengine Wamepata VIBALI VYA TV na RADIO kwa MSAADA na NGUVU ZA CCM

CLOUDS, CHANNEL 10, Diallo TV... Hii ya kugomea haita shinda - LABDA uwe na Mamilioni ya Dola za kuwalipa hawa

waandishi... CCM Inazo...
 
Ndugu zangu,

Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.

Mjengwablog, kama chombo cha habari na mawasiliano ya kijamii, ina mtazamo wa kuendelea kuripoti habari za kipolisi, za kutoka ndani na nje ya jeshi hilo ikiwamo taarifa za kichambuzi.

Tunafanya hivyo tukiamini, kuwa habari za kipolisi kwa kiasi kikubwa ni habari zenye kuihusu jamii.

Maggid Mjengwa,
Mwenyekiti Mtendaji,
Mjengwablog.
Iringa
0788 111 765
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo

Wise decision.
Kugomea kuandika habari za polisi ni sawa na kuweka kinyesi sebuleni kwako kwa sababu ya ugomvi wako na bwana afya!
 
kweli nimeamini waandishi habari ni wahuni.ina maana matamko yote yaliyotolewa maggid wewe hauyaungi mkono? hakuna asiyejua kuwa zinahusu jamii,bali lingekuwa fundisho kuwa polisi inawahitaji waandishi inayowauwa.umejiaibisha wewe binafsi na fani nzima

mjengwa ndo mdudu gani jamani? au ndo yule mtu wanamwita mwanakijiji? ye ni nani,

lazima utakuwa umetumiwa bahasha na magamba. wenzio wana habari iringa wamegoma wewe unasaliti wenzako ! ofcourse nilitegemea watu wa aina yako, maana njaa kitu mbaya sana!

kwa kweli kwa ili mjengwa umetia aibu

Huyu mheshimiwa nilikuwa napendelea kusoma maandishi yake, lakini sasa naanza kumuwekea Question mark...!

Mjengwa nimekushusha na nakwondoa mana afu ntakupuuza

Tujadili hoja, tusijadili watu. Akili ndogo ndio zenye kujadili watu.
 
sawa, na mabahasha msiache kupokea, weledi wasiopenda kubebeshwa mibahasha na walichagua kundi la wananchi ndo wanaouliwa na hao majambazi wa CCM a.k.a POLICCM
 
kweli nimeamini waandishi habari ni wahuni.ina maana matamko yote yaliyotolewa maggid wewe hauyaungi mkono? hakuna asiyejua kuwa zinahusu jamii,bali lingekuwa fundisho kuwa polisi inawahitaji waandishi inayowauwa.umejiaibisha wewe binafsi na fani nzima

"Never trust a reporter who has a nice smile." –
William Rauch

"I believe in equality for everyone, except reporters and photographers." – Mahatma Gandhi

Wewe mkuu usimshangae huyo majango sijui mjengo...you name it. Hawa watu sometimes wanafiki.Angekua yeye ndo katoa wito huo basi angejisikia...na kusimamia haki hii..ila kwakuwa wenzake wameamua kusimamia haki basi mwache na website yake inayo tangaza dabaga na pilipili hoho...jamaa huyu bure kabisa
 
Kufuatia mauaji ya kutisha na ya kusikitisha ya mwandishi Daudi Mwangosi ambapo askari wa Jeshi la polisi wanatuhumiwa kuhusika, kumekuwa na mitazamo na mikakati tofauti miongoni mwa wanahabari ikiwamo kugomea kuripoti habari zinazotoka kwenye jeshi la polisi.
Kwa hiyo polisi ikitoa taarifa inayopotosha umma,waandishi wa habari wasiwakosoa kwa kuandika habari ya kweli?
Mimi ninakubaliana na hoja ya Maggid,mimi ninawashauri waandishi wa habari mtafute njia nyingine ya kuonyeshana ubabe na polisi lakini isiwe hii ya kugomea kuripoti habari.............
"Waandishi wa habari kugomea kuripoti habari za kipolisi ni sawa na kugoma kufanya kazi kwani ripoti za kipolisi zinaihusu jamii moja kwa moja".
 
Huyo Mjengwa hana hata cheti cha uchochoroni cha uandishi. Ameingia kwenye hiyo fani kwasababu anajua kupiga picha na hakuna kingine. Hastahili hata kujadiliwa kilaza.
 
....Gamba hili kamwe haliwezi kulivua gamba lake....anajua labda iko siku anaweza kutunukiwa ukuu wa wilaya kwa "utiifu' wake mkubwa anaouonyesha kwa magamba wenzie.
 
kugoma kuchapisha habari za polisi kutamsaidia nini mwananchi wa kawaida?
 
Back
Top Bottom