chadema msiwahadae watanzania juu kifo cha daudi na wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema msiwahadae watanzania juu kifo cha daudi na wengine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgongo wa paka, Sep 7, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  chadema mipango yenu ya makusudi na mnyayo iita ya kimkakati ikiwamo na mipango ya siri, kwa kushirikiana na baadhi ya maaskari polisi ili kufanikisha maslahi yakisiasa kama tuonavyo sasa, chadema wanajitia kutofaham lolote na kuliangushia lawama tele jeshi la polisi kwa ujumla pamoja na serikari, mbinu hizi za kimafia zinazo fanywa na chadema zitaigharimu tanzania watanzania let us think more about technicks taken by chadema. Wengi mtadharau na kuona kauli hii nayo toa ni kejeli but you will see matokeo baadae hatimae kuja kugundua watu wengi wamepoteza maisha, chadema kwa sasa ni chama hatari chenye mbinu zisizo faa za kupata majority na simpathy kwa wa tanzania hili ni jicho la upande wa pili nyote mmekuwa mnaangaria serikari na jeshi lote la polisi na kutupalawama kwa serikali na jeshi hilo.. Nivema wa tanzania tukawa wazalendo. Natusiwe watu wakushabikia tu na kufurahia hali hii inayo sababishwa na kuchochewa na chadema
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Habari za Abottabad
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi gongo ya asubuhi humfanya mtu kuwa mwendawazimu.
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umetoka kuzma we shetan muuaji wa magamba?
   
 5. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama ukikosa kazi jaribu kutafuta mtoto yoyote umuoshe kama amejinyea kuliko kukaa asubuhi yote hii kuandika mada za kimbea na za kiudaku mh utakuwa umepunguza mzigo wako wa dhambi kwa mwenyezi mungu.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kama mbinu ni hizo basi naona sio mbaya ni mbinu zakisikuhizi ,zimetumika Misri ,Libya Yemen na bado zinaendelea kutumika Syria na huko zilikotumika serikali zimeanguka na kusambaratika.
  Let them try it ,atakaekumbwa na maafa katika mbinu hizo itakuwa siku zake za kuishi hapa duniani zimefika ,muhimu ni kumuondoa adui CCM madarakani na kuweka soji lingine katika huyu punda wetu Tanzania ,kwani soji liliopo linavuja na mali inapotea.Wakati wa kubadilisha sogi umefika.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,564
  Trophy Points: 280
  Kajifunze kuandika kwanza.
   
 8. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kama huna hoja! chukua kipande cha sabuni nenda kapige puli mpaka uishiwe nguvu,nyama we!
   
 9. d

  dada jane JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ungeleta maevidence kama mapicha, mavideo na manyaraka ningekuweka kwenye list ya role modal wangu kama akina 007. MMKj, Pasco. Bibi kuku, Hutaki Unaacha, jmushi1 nk. Binafsi sina rafiki wa adui wa kudumu ila nina uzalendo wa kudumu.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Bangi mbaya sana!
   
 11. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,636
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mkuu,asante kwa muhtasari baada ya habari.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu tuungane pamoja.Mimi nimekereka sana na huyu msajili fedhuli anavyofanya hujuma dhidi ya CUF na CDM
   
 13. c

  chi-boy Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndo maana kuna vyama vingi.. Unaeza shabikia ukipendacho, Chadema kama hakikuridhish hama...
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Muuaji mkubwa wewe
   
 15. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ccm ina makada wa hovyo sana, kama unalipwa kwa kufanya huu upuuzi hapa JF tafadhali taufuta kazi ingine kwa kuwa hii hutaiweza. Rudi std 1 ukajifunze kuandika. Sina hakika kama kuwa na uwezo wa kuchambua hoja ni rahisi kwako, yawezekana ulilelewa vibaya na sasa umri umekutupa mkono.
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Molemo kumbe upo nilidhani umeenda Ethiopia kwenye mazishi ya kamanda Meles.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. G

  Ginner JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  jambo ninaloliona humu ndani sikuizi watu hawaargue kwa hoja tena kama ilivyokuwa awali bali bali jazba na kejeli hasa unapojaribu kuongea au kushauri chochote kuhusu chadema. chadema sasa ni mungu wa vyama vya siasa hapa tanzania kwa mitizamo yao dhaifu na ukijaribu kukosoa basi unaonekana umekufuru.. ni ufupi wa akili zao naunga mkono hoja yako
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kakojoe ulale bado una usingizi
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mmekosa hoja wewe na nape mnaanza kusingezia ETI WALE ASKARI NI CDM..tafuteni toleo jipya.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Thread za wanywa komoni huwa napita tuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...