Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI; Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi, anataka damu imwagike...
0 Reactions
216 Replies
22K Views
Siyo siri kuwa Mwenyekiti wa CDM Mh. Freeman Mbowe ameweza kuongoza chama kwa uweledi mkubwa hasa ukizingatia kwamba chama kina vijana wengi katika uongozi ambao wana mitazamo tofauti na ambao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutokana na hukumu iliyotolewa hivi karibuni kuhusu malipo ya Dowans, ingekuwa ni muda muafaka kwa Mzee Samwel Sitta na Dr Mwakiembe kutueleza msimamo wao kwani tangia mwanzo walikwishawaeleza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani muda wa haya maneno ya viongozi wa ccm na serikali yake ya kwamba, bila ccm imara nchi yetu itayumba, chama legelege huzaa serikali legelege. Hali ya mambo ilivo tete kwa sasa hapa nchini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, Tanzania ni nchi yetu sote na itajengwa na sisi wenyewe na itabomolewa na sisi wenyewe, Inasikitisha sana la polisi linapotumia nguvu kuuwa raia wanaofanya maandamo kwa amani kwa...
2 Reactions
127 Replies
11K Views
Gov. Deval Patrick - Namkubali sana Gov tunatofautiana kwenye hilo gay tu. Gov. Deval Patrick's Speech at 2012 Democratic National Convention - YouTube Michelle Obama DNC Speech 2012 Complete...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
A fresh wave of aliens from neighbouring countries have invaded Kyerwa District in Kagera Region, calling for urgent government intervention. Minister for Home Affairs, Dr Emmanuel Nchimbi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IJUMAA, SEPTEMBA 07, 2012 05:34 NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM *Yasema kumuua mwandishi ni kujichafua *Polisi wazidi kushutumiwa kila kona *Jukwaa la Katiba, UTPC wazidi kucharuka *Vyama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Emmanuel Nchimbi mpaka sasa hujaona sababu ya kujiuzulu? Je unafurahia mauaji haya? Mbaya zaidi unakuja na matamko yenye utata kuhusu haya mauaji. Hivi ni lini viongozi wa nchi hii mtaacha kuwa...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Tafadhali weka maslahi yako na ccm wazi maana hueleweki. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mwenye video hii aliyeirekodi wakati inasomwa, naomba anipe link, wale majaji nina hamu sana ya kuwasikiliza walivyochanwa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge wa Kilwa Kusini Mh. Suleiman Ally Bungara maarufu kwa jina la ***** leo asubuhi amekematwa na polisi katika kituo cha polisi Wilaya ya Kilwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Mtwara port The EPZA’s Research and Planning Manager, Mr James Maziku, said development of the area awaits gazetting of the declaration that is expected in a week. “Out of the alloted area, ten...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Studies on export ban imposed on cereal crops have revealed that the practice discourages investors in the agriculture sector while at the same time increasing poverty, Prime Minister Mizengo...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kutoka Yahoo friends Nimeikuta ikizunguka, labda umeiona, ni kwa faida ya wale ambao hawakuiona. Polisi wanavyotumiwa na CCM kuusambaratisha upinzani!!!ukweli huu hapa na Mwandishi wetu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
mchezo ulianza kwa vyombo vya habari kuripoti.Kisha akaja waziri wa mambo ya ndani.Kisha akaja kingozi wa vijana wa ccm.Taarifa zilikuwa risasi ndizo zilitumika, hadi kwa majeruhi.na waandishi...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Sherehe za miaka 50 ya uhuru Tanzania inasemekana iligharimu pesa nyingi sana lakini cha ajabu ni kwamba Madaktari na wauguzi waliokuwa wakitoa huduma kiwanjani hawajalipwa hadi leo posho...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
walimu wa secondary and primary wote wapo kwenye mgomo . and to make the matter worse lecturers nao wameanza mgomo and come next week doctors nao wanaanza mgomo. our government can learn from...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Wanabodi,salaam kwenu Tafadhalini someni tamko la BAVICHA kuhusu mauaji ya kinyama ya mwandishi wa chanel Ten ambalo nimewabandikia kama lilivyo. BARAZA LA VIJANA CHADEMA (BAVICHA) JIMBO LA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom