Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAKATI bado kuna sintofahamu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), James Mbatia, amewaonya Wanasiasa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu watanzania na wote mnaopenda amani nawasalimu kwa jina la Amani ya Bwana, lakini pia niwape pole kwa vifo vya Watanzania wasio na hatia kwa sababu tu neno amani na utii bila shuruti vimeanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika tamko la CCM juu ya kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi, kuna kifungu cha maneno kinachoeleza: Vyama vya siasa na wanasiasa nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuheshimu Utawala...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka 1995 wakati CCM wanapendekeza jina la mgombe urais kupitia chama chao, Hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere alialikwa katika mkutano ule kwa lengo la kusaidia upitishwaji wa jina...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ALHAMISI, SEPTEMBA 06, 2012 | NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali ombi la kutaka mahakama hiyo ifanye mapitio katika hukumu iliyotolewa katika kesi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jobless rates among young people will get even worse globally as the spill-over of the euro crisis spreads from advanced to emerging economies, according to a United Nations paper issued today...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Honestly am worried, we are not safe at all! Kwa matukio haya na tusiyoyajua, polisi sio usalama wa raia kabisa. Haiwezekani nchi moja iwe inaendeshwa kiushabiki shabiki usio na tija. Imekuwaje...
19 Reactions
80 Replies
8K Views
Unanswered questions… How inevitable was the tragic event and what is its impact on public opinion on police work? Who would be best placed to investigate the circumstances that led to this...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Naamini sote tunaendelea kufuatilia kwa makini mgogoro wa Mpaka kati ya nchi yetu na majirani zetu Malawi. Tumesikia mengi hadi sasa. Yapo yaliyo dhahiri, matharani, Malawi hawako tayari...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nani atainusuru Tanzania...! Maana kila siku vifo vya makusudi vinatokea... walikufa ndugu zetu kwa uzembe MV Bukoba, na MV Space Highlanders! Walifuatia watu waliofukiwa migodini? Zikafuatia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ktk muendelezo wa msimamo wa waandishi wa habari nchini kugomea kuandika habar zihusuzo polisi na maagents wao umechukua ukurasa mpya baada ya leo waandishi wa habari mkoani iringa walipogemea...
5 Reactions
73 Replies
8K Views
Katika vitu ambavyo, sivielewi na vina nishangaza sana katika siasa za Tanzania, ni ushindi wa chama tawala katika chaguzi nyingi zinazo fanyika hapa nchini. Kwa sababu maongezi ya watu wengi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
katika hali inayoonesha kuwa ni mkakati wa polisi na serikali kuidhooofisha CHADEMA na kwa kuwa ni dhahiri kuwa kwa sasa swala la polisi kuuwa ni la mwendelezo ombi langu kwa CDM kama mtakuwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani kama nitamuudhi mtu. Lakini ukweli utajidhihiri baada ya uchaguzi hapo 2015. Kumekuwa na changamoto nyingi sana katika kuendesha Serikali ya Mseto huko Zanzibar. Mipango mingi hata ile ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
akihutubia baraza la madiwani na watendaji wa halmashauri ya meru katika ufunguzi wa tovuti ya halmashauri hiyo mkuu wa mkoa wa arusha ndg Magesa Mulogo amesema hakuna haki bila amani hivyo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
PRESS RELEASE KUTOKA KWA MWENYEKITI, HALMASHAURI YA HAI 5,SEPTEMBA,2012 MSIMAMO WA MWENYEKITI KUHUSU KUAHIRISHWA KWA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI 30,AGOSTI,2012. Habari zimeenezwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chadema kumfikisha Nape mahakamani wiki hii Na Restuta James 4th September 2012 Katibu wa...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Ningependa sana kuwasihi Chadema kuufanyia mabadiliko mtazamo wa vua gamba; isiwe lazima watu waache vyama vyao. Chadema tafuteni kukubalika ndani ya vyama vingine, CCM, CUF, NCCR, TLP nk, ili...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Toka tuanze mfumo wa vyama vingi nimekuwa nikivifatilia vyama vyote lakini chama tawala bado kimeendelea kuongoza kimuundo kwani kimekuwa na mizizi toka ngazi ya chini kulinganisha na vyama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wananchi wa wilaya ya kwimba mkoani,wamegoma kutoa maoni katika tume ya kukusanya maoni baada ya mkuu wa wilaya hyo kutoa wito kwa wananchi kujitokeza. Wananchi hao wamesema kwamba hawawezi kutoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom