morenja
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 4,519
- 1,851
katika katiba mpya polisi iwe Tanzania police service na sio kama ilivyo sasa kama Tanzania police force ,iwe taasisi ya hudumaa ya uma badala jeshi nakuwa chini ya amiri jeshi mkuu .rais .kama ilivyo sasa .kuondoa kutumiwa na uongozi kugandamiza wananchi .Ghana wamefanya hivyo kwenye katiba yao .na kadhalika Kenya pia..