Kama Ungekuwa Mchumi Mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja uliokaa ofisini ungefanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Ungekuwa Mchumi Mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja uliokaa ofisini ungefanya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fitinamwiko, Sep 7, 2012.

 1. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Ndugu wana JF, tumezidi sana kumkosoa Ndugu yetu, Ist Class Economist, bila ya kumsaidia kimawazo na fikra. Mh kama alivyosema Bungeni,"nilipata alama za A+ under/graduate school, lakini tangu alipochukua Office, CCM bado inategemea ruzuku kujiendesha. Wafanyakazi wa CCM wengi hata wa Ofisi ya Lumumba wamesikika kulalamika kukosa mishahara yao ya mwezi.Sasa wanaJF wakati ni huu kumsaidia kimawazo Kijana mwenzetu kazi ambayo huenda inamshinda. Nitaanza kwa maoni yangu binafsi jambo la kwanza kabisa ningefanya:-

  Kuacha kupoteza muda kwa kufanya kazi za NAPE; kuongoza Kampeni za Chaguzi na kuendeleza Propaganda za Chama
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  CCM kama kawaida ya wajamaa wengine kwa miaka zaidi 50 hajaweza jaza nafasi za kazi kwa kutumi watu sahihi. Kama jamaa alipunguza au kuondoka kabisa micro-economics au hata alisoma tuu kufauli halafu siku liyofuata akasahau.Ni ngumu kumtumia katika micro- economy.Yaani kuvikuza na kufanya vitega uchumi vya ccm viwijitegemee na baadaye kutegemewa na chama,kunategemea sana micro economics.Kwam tu asiyeelewa sana tools za kazi hawezi jua tatizo lipi linahitaji kifaa, na kifaa gani katik list kinafaa.Pia kama mtu hajui vifaa vya kazi husika si rahi kujua wakati tatizo linakosa kifaa na hivyo kubuni njia ya kutumia vifaa vilivyopo na kuweza fanya kazi inayohotajivifaa tofauti.Hapa vifaa ni principals zinongoza micro economy

  Pengine ni wa macro- na sio micro- economy.Ukiachilia mbali tatizo la kuelewa jinsi alivyopata hiyo first class.Kuna hali inayo prove kwanini tumekuwa tukifail sana katika idara zetu, tena zenye watu wenye vyeti vilivyotakata.Ndio napata picture kwanini wageni wabaguzi wamepata mwanya wa kutoajiri degree holder wetu na kuweka watu wa certificates na diplomas wanazoziongoza wao au kuzijua.
   
 3. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Mkuu labda haujanielewa! naomba mawazo yako tumsaidie vipi Mh katika kuigomboa CCM kutoka Uchumi tegemezi
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  hivi kule ulaya timu ikipigwa bao mfululizo inakuweje kwa kocha?Au timu ikianza fulia na kukaibia kuingi akatik mufilisi inakuweje?
   
 5. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  naona SSM wanazidi kukusanya maoni walianza na raisi sasa chama
   
 6. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ningetoa mawazo yangu lakini hapo uliposema "ungekuwa mchumi mkuu wa ccm" kamwe sitakuwa kwa sababu ccm haina haja na wachumi kama tanzania isivyokuwa na haja nao, tuna haja na mamis wa kupiga makofi bac enough! kwa hivyo nikitoa mawazo yangu tu najihisi ndo nishakuwa "mchumi mkuu wa ccm" yaani mi ccm? Never ever.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Labda waendelee kuua Kama wanavyofanya sasa. Idadi ya watu itapungua kitu ambacho kitapunguza matumizi hapo atafanikiwa
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  nINGEOMBA MGAO WA PESA ZA DOWANS
   
 9. 1701

  1701 JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 848
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  kwanza kwa kutambua kuwa ccm ni chama chenye wanachama weng zaid tanzania,ningebadilisha investment policy,nngezirudsha kwa umma mali zote ambazo chama kijimiliksha tang 1991,kama uwanja wa kirumba..next wanachama wangekuwa mtaj,alaf hii ingesaidia kurudsha iman ya watz kwa chama,no way out,chama lazma krud nyuma,na huo ndo utakuwa mwanzo mzuri wa ku-apply economics tools kweny investment decsn,kwa wachumi ni lazma kwanza uweke mazngra ya usawa wa ushindan,then efficiency itategemea maono ya opportnts kutoka kwa viongozi,ccm ilimilksha mali,vyama vngne vkaanza mikono tupu,mfano chadema walikuwa wanatambua vyema kabsa kwamba n lazma kupata wabunge weng il kujiongezea kpato,wakat ccm wao kpato haikuwa tatzo..kwa watz walio weng wataona wapnzan ndo ndugu zao,ni hayo tu
   
 10. 1701

  1701 JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 848
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  kwanza kwa kutambua kuwa ccm ni chama chenye wanachama weng zaid tanzania,ningebadilisha investment policy,nngezirudsha kwa umma mali zote ambazo chama kijimiliksha tang 1991,kama uwanja wa kirumba..next wanachama wangekuwa mtaj,alaf hii ingesaidia kurudsha iman ya watz kwa chama,no way out,chama lazma krud nyuma,na huo ndo utakuwa mwanzo mzuri wa ku-apply economics tools kweny investment decsn,kwa wachumi ni lazma kwanza uweke mazngra ya usawa wa ushindan,then efficiency itategemea maono ya opportnts kutoka kwa viongozi,ccm ilimilksha mali,vyama vngne vkaanza mikono tupu,mfano chadema walikuwa wanatambua vyema kabsa kwamba n lazma kupata wabunge weng il kujiongezea kpato,wakat ccm wao kpato haikuwa tatzo..kwa watz walio weng wataona wapnzan ndo ndugu zao,ni hayo tu
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mada haina mvuto, ina hisia binafsi na mada kama hizi huwa zinajadiliwa wakati watu kama wa jinsia yako mnapokuwa saloon mnatengeneza nywele, labda usubiri weekend mkaliongelee huko mama.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mawazo mgando hayo kwa nini ulaya? Kwani hatua unazozifikiria timu zetu za hapa haziwezi kuzichukua zinaposhindwa kujiendesha?
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Acha ghadabu,acha ubaguzi na kuwa inferior...kwani hakuna timu uishabikiayo nje?Hao ndio waliowek mpira katik taswira tuionayo.Simba na Yanga mara zote si wanafukuza makocha kwa visa binafsi na kushindwa walipa..jipe jibu.Kama unadhani bongo wanaweza fanya hivyo hivyo basi ungejibu kama maswali yalivyokuwa.Yaani action ambayo ingechukuliwa na si nani anaichukua.Wewe ni kama hao waulizao kwanini manabii wasije kwa rangi yao.Sijue wangekuja kwa rangi yao wengine wasingekuwa na haki ya kuuliza hivyo hivyo?Nadani wewe ndie umeganda zaidi ya mawazo...pengine na ubongo.
   
 14. t

  tenende JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Thread nyingine zinaletwa kwa msukumo wa bangi!
   
 15. t

  tenende JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  FITINAMWIKO na MOONY ni mtu mmoja au mapacha? ANGALIA THREAD ZAO: ....UNGEFANYA NINI UKIWA "RAIS WA TANZANIA KWA MWEZI MMOJA?????" ( 1st - 30th SEPT 2012)? Started by Moony, 5th September 2012 13:12 6 Pages • ...1 2 3 4 5 ... 6 News Alert: Kama Ungekuwa Mchumi Mkuu wa CCM kwa mwaka mmoja uliokaa ofisini ungefanya nini? Started by Fitinamwiko, Today 00:47
   
Loading...