Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 181
Msijikite sana kwenye kutoa matamko imarisheni chama, hakikisheni polisi hawafanyi vurugu mikutano ya chadema maana watu wavivu kufikiria vurugu ikitokea wanafikiria ni CCM tu. Kuweni bize na ahadi lukuki mlizozitoa ili kujipa mazingira mazuri 2015. Vinginevyo mkijikita na mbinu mlizozitumia kwa NCCR 1995 an zile za CUF 2000 basi mtakuwa mnajichimbia kaburi. Sasa hivi mpaka vijijini wananchi wameelimika sana. Watu wasio makini kama kina Tendwa wazuieni wasitoe matamko hovyo hovyo maana kiongozi anatoa tamko hata kijana wa form four anasema huyu anaongea nini? Ni muda wenu wa kukaa kimya na kufanya kazi ili mpate cha kusema 2015, Rais alitoa ahadi nyingi sana mtawaambia nini wananchi hao 2015? au mnadhani mtatumia nguvu??
Ushauri .... chukua .... au acha .......maana naweza nisiwe sahihi sana lakini hayo ndio maoni yangu.
Ushauri .... chukua .... au acha .......maana naweza nisiwe sahihi sana lakini hayo ndio maoni yangu.