Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa taarifa nilizo nazo mpaka sasa ni kwamba kesho Jumatano Septemba 12, 2012 saa nne asubuhi kuna kongamano kubwa linaloshirikisha waandishi wa habari, madaktari, asasi zote za kiraia, madhehebu...
2 Reactions
86 Replies
9K Views
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa...
3 Reactions
112 Replies
9K Views
Naombeni kujua kila chama cha siasa kina Madiwani wangapi Tanzania -uchaguzi mkuu 2005 na -Uchaguzi mkuu 2010 -VITI malumu kwa wanawake 2005 na 2010 Kwa wenye taarifa kamili tafadhali Aksante sna
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Mojawapo ya vitu ambavyo tumekuwa tukivisikia kwa muda wa wiki sasa na zaidi ni kuwa wananchi wanatakiwa "watii sheria". Kwamba wananchi wakitii sheria basi hawawezi kukutwa na matatizo mbele ya...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Moderator usiiunganishe hii thread na ille ya maandamano ya waandishi wa habari Nawapongeza sana waandishi wa habari kwa kumtimua waziri wa mambo ya ndani Emmanuel Nchimbi nawapongeza sana kwa...
28 Reactions
134 Replies
16K Views
Mheshimiwa Mwenyekiti, katibu mkuu wa chama, viongozi wa chama ngazi ya Taifa, mikoa na wajumbe wa mabaraza yote ya chama ngazi zote.. leo nachuua nafasi hii kuwapa summary ya mjumuiko wa utafiti...
36 Reactions
253 Replies
19K Views
Watu wengi tunaipenda CHADEMA na tunaombea ishinde uchaguzi ujao, lakini mimi natabiri sisi (Watz) ndio pia tutakaoiangusha CHADEMA iwapo itafanikiwa kuingia madarakani, na sababu ni tabia na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Serikali yetu na mazingaombwe yake... kumbe mwenzenu kafunguliwa mashtaka ya kusema uongo...
0 Reactions
229 Replies
27K Views
Slaa: Mauaji yaliyofanywa na Polisi yanahitaji Kuundiwa Tume na si Kamati - YouTube Katibu Mkuu wa Chadema Dr.Slaa ametaka kuundwa ya kuchunguza mauaji badala ya kamati. Amesema kamati haina nguvu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
BAADHI ya wanafunzi wa sekondari wilayani Mpanda na Mlele mkoani Katavi wamejitokeza mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kupendekeza Katiba ijayo ibane walimu wa kike ambao wanapewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MBUNGE wa Ulanga Mashariki (CCM), Celina Kombani amewasihi viongozi wa vyama vya siasa nchini kutumia vizuri majukwaa ya siasa kwa kueleza sera zao, badala ya kutoa kashfa na maneno ya kejeli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMATANO, SEPTEMBA 12, 2012 05:19 NA BAKARI KIMWANGA, PANGANI MBUNGE wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF), amesema wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umekuwa ni kikwazo kwa wabunge wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mahakama ya Tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Kutokana na kufuatilia kwa karibu mwenendo wa Urais wake, nadiriki kusema kuwa Bwana Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliofanikiwa kutimiza ndoto zao. Ni watu...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
kama tendwa angekuwa anatumia akili yake asingekurupuka na kusema ataifuta chadema,sababu cheo alichopewa na kikwete kama kada ndani ya serikari hakitaweza kufuta watanzani zaidi ya million 2...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Labda leo naweza kuendelea kuandika tena kama namna yangu ya kumuenzi Daudi Mwangosi. Maana kama ni kumuaga, kwa kweli nimekataa kumuaga. Nikimuaga, nitakuwa namumwaga. Sina sababu ya...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutokana na kifo cha mwandishi, nilipenda kueleweshwa maana ya waandishi kugomea kuandika habari nzuri za polisi. Sasa nikiwa naangalia TV station moja nimekuta kuna habari ya Airtel na kampuni ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom