POLISI ambaye alifyatua bomu kwa karibu na kusababisha kifo cha Mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote, Fikra Pevu limefahamishwa...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ameamuru taarifa ya kusudio la kukata rufaa iliyowasilishwa katika Mahakama ya Rufani na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Fredy...
Nasikitishwa sana na mfumo wa waandishi wa habari wa tanzania kwa vitendo vyao viovu vya kupiga makelele kudai uhuru wa kupata na kutoa habari, swali nauliza ni uhuru gani mnaodai zaidi ya huu...
Nahudhuria live sasa hivi. Najikuta nimezungukwa na sura za kimagamba tu huku kijijini sijui kama patatolewa maoni significant. Siwaoni wanaharakati hapa,wapi Jukwaa la siasa? Nafasi hii itatekwa...
Jana waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali nchini waliandamana kulaani kuuwawa kwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Chanel 10 huko Iringa,kifo cha mwandishi huyu kwa bahati mbaya na...
Juzi Chama Cha CUF Kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani.
Nilikuwepo binafsi nikichukua picha na kusikiliza hotuba mbalimbali. Pamoja na mambo mengine, CUF Inaonekana...
Wadau , hii nimeikuta http://www.shaffihdauda.com/ , najaribu kuwasiliana na mhusika ili akubali kuja kushusha ushahidi wake humu
"
MICHEZO, MISITU NA VYANZO VYA MAJI VINAPOHUJUMIWA KWA WAKATI...
Jamani naomba wale wote waliokwepo wakati wa uchaguzi wa kenya 2007 waniambie tofauti kati ya anayoyafanya John Tendwa wetu na Samwel Kivuitu aliyekuwa mwekiti wa tuma ya uchaguzi kenya mwaka...
Ole Naiko amesema kuwa wanawasamehe kodi wachimba madini kwa sababu kule porini kwenye migodi serikali haijapeleka umeme, hivyo serikali inaamua kuwasamehe kulipa kodi kwa sababu wanazalisha umeme...
Mhe. Sitta alitembelea kikundi cha Wanawake wajane Wazee na Watoto yatima Wilayani Karagwe ambapo kikundi hicho kilijumuisha Wazee wa Karagwe na Kyerwa waloimsimika Mheshimiwa Sitta kuwa Mzee wa...
lets do a simple research.......hebu tuwaache cdm wafanye maandamano yao bila kuwaingilia na polisi....je kutakua na mauaji? then tutakuja na conclusion ya nan muuaji......
Wadau naamini wote tunayajua mambo ya mauji ra raia wasio na hatia yanavyoendelea kiholela huku kukiwa hakuna nia ya dhati toka kwa viongozi wetu kuanzia wa serikali mpaka jeshi la polisi,bad...
Paragraph hii nimei copy kutoka kwenye gazeti la mwananchi:
Septemba 4, mwaka huu Tendwa alitishia kukifuta Chadema baada ya matukio ya vurugu katika mikutano yake ukiwamo ule uliofanyika...
Exactly kwa nguvu na shinikizo la jana la CHADEMA na maandamano ya waandishi pale jangwani yaliyopelekea Kumu_ignore waziri Nchimbi ambaye naye yupo kikaangoni ni wazi sasa vibarua vya makamanda...
Ndugu zangu nimekuwa nikishangazwa kidogo na siasa zinavoendelea nchini mwetu hasa kati ya vyama viwili vikubwa. Kitu hiki kidogo kimekuwa kikinitatiza. Ivi ni kwa nini vyama hivi vinafungua...
Kigwangala aingia mitini, kumbe unaweza ukawa na ma PHD ukawa hopeless tu. Kigwangala hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi wachilia mbali ubunge kama hana maamuzi.
Ameboa sana. Anatia aibu...
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa...
Na Mohammed Mhina, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeainisha mpango wa matumizi ya fedha shilingi Bilioni 14.8 zilizotolewa kama msaada na Serikali ya China kwa SMZ.
Akizungumza na...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na harakati nyingi za vyama vya siasa (hasa CHADEMA na CCM) kutafuta wanachama na kufungua matawi ya vyama husika huko ughaibuni.
Ningependa kufahamu siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.