Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NASHANGAA KUONA KABLA YA WATU WA TUME YA KATIBA KUFIKA ,ZINAGAWIWA MIONGOZO YA MAPENDEKEZO YA KATIBA MPYA TENA IKIWA IMECHAPWA NA MWANASHERIA WA SERIKALI,JE HII NI HAKI KWA RAIA AMBAO WANA MAONI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Kati ya watu wanaokadiriwa kufikia 20000000 waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010,takribani watu 12000000 hawakupiga kura! 2.Siyo watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na zaidi...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nasema upuuzi wa vijana wa ndani ya chama umekua kiasi kwamba hawajitambui tena, naona katika mitandao wanakesha wakiwaza uchaguzi tu, uchaguzi wa ubunge, udiwani, urais na ndani ya chama, ni...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu, ukiwa ndani ya mtumbwi huwezi kukaa kimya unapoona mmoja wenu yuko busy anatoboa mtumbwi katikati ya mto. Madhara yake wote mnayajua. Yapo mengi yanayoonyesha kuwa kinachofanyika ni...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwigulu Nchemba leo anatarajia kuanza mkutano wake hapa Nkinga hivi sasa Nipo uwanjani kuwaletea kila kitu.endelea kufuatilia.
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Watz tuna safari ndefu sana kuelekea kufika kule tunakotaka. Kwanza, hakuna nia ya dhati ya kutaka kutekeleza kwa vitendo kauli zetu. Hili linajirudia mara kwa mara katika utendaji wa viongozi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMATANO, SEPTEMBA 12, 2012 05:25 NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI Marehemu Daudi Mwangosi *Walaani vikali mauaji ya Daudi Mwangosi *Wamtaka Rais Kikwete, MCT wakutane haraka *Polisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kwamba Watanzania wameanza kuchoshwa na hii tabia ya Jeshi la Polisi la kupiga watu mabomu na risasi za moto hata mahali ambapo hakuna ulazima na hivyo kupelekea vifo kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Uchaguzi Sumbawanga Mjini, unanukia baada ya muda wa kukata rufani kwa mujibu wa sheria za uchaguzi kupita na upande wa mrufani kugubikwa na ukimya. Katibu wa CCM (itikadi na uenezi), Nape...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kenya’s President Mwai Kibaki welcomes Tanzania’s President Kikwete at the Kenyan State House, as pictured yesterday. President Kikwete is in Kenya for three days official visit. President...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Mpangilio wa rangi za chama kipya kilichopata usajili wa kudumu cha ADC unafanana kwa kiasi kikubwa sana na ule wa bendera za chadema. Hata wakati anakipatia usajili wa muda, msajili wa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani naomba mpate wakati wa kusikiliza Jenerali akiwa Open University. Presentation ni ya Kiswahili. NIMEIPENDA SIKILIZA TAFADHALI Then toa maoni yako. KARIBU
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wana-JF; Kumekuwa na KERO sana tangu zinapotokea ghasia na fujo za katika mikutano na maandamano ya Chadema, na kwa vile 'Chama Zee' GOP - CCM imeweka malengo yake kwa kupitia utelelezaji wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
13 Reactions
218 Replies
19K Views
Itakumbukwa kuwa vyama vyote vya siasa hupata ruzuku kila mwezi kwa mujibu wa sheria. Ruzuku hizo zitatumika kuimarisha na kuendesha vyama hivyo kwa kadri itakavyoamuliwa na vyama vyenyewe. CCM...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimesikitishwa sana kama siyo kushangazwa na kauli ya Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Bwana John Tendwa baada ya kutishia kukifutia usajili chama cha CHADEMA! TIshio hilo limekuja baada ya CDM...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
wiki iliyopita tuliambiwa kuwa Mh. Kigwangala baada ya kushauriana na watu wake wa karibu angefanya maamuzi siku ya jumanne, ambayo ni jana. Mbona kimya? ameghairi? Je, kuna taarifa zozote za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni ADAMU CHAGULANI IGOMA NA HENRY MATATA KITANGIRI Pia Imevunja uongozi wote wa chadema mkoa wa mwanza.sababu kuhujumu chama na kumvua umeya meya wa chadema kinyume na utaratibu wakishirikiana na...
5 Reactions
263 Replies
22K Views
Naibu katibu mkuu wa CUF chama cha wanachi Mh.Julius Mtatiro,amebainisha kwamba nchi inakuwa na viongozi mafisadi wengi kwa kuwa wengi hawana nia ya kuongoza ili kumkomboa mtanzanaia bali...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wana Jf, mwenendo wa kisiasa hapa nchini inajionyesha kabisa kwamba CHADEMA ni chama ambacho kitapata ushindi kwa asilimia kubwa. Japo kuwa wana CCM mta criticise lakini huu ndiyo mtizamo wa watu...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom