Slaa: Mauaji ya Polisi yaundiwe Tume na si Kamati

Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr.Wilbrod Slaa amesema kamati iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuchunguza mauaji ya Mwandishi Daudi Mwangosi ni usanii kwani kamati haina mamlaka yoyote kisheria. Slaa ametaka Rais aunde tume huru kuchunguza mauaji yote yaliyokwisha kufanywa na Jeshi la Polisi

Video hisani ya Chadematv ya youtube
 
Last edited by a moderator:
Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...

Kama umri bado unakuruhusu, basi ninakushauri tafuta namna yo yote ile urejee shuleni!!!
 
Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...

Acha itikadi zako hasa kwa mambo yanayogusa uhai wa Mtanzania. Lakini pia elewa hoja yake ni kuwa kamati haina mamlaka kisheria kuhoji baadhi ya wahusika hasa wateule wa rais. Ninyi ndiyo wale ambao hawana huruma na uhai wa mtanzania?
 
huwa nikiwaza kuwa bado 2 solid years kufika 2015! nachokaaaaaaaaaaaaaaaa! cjui ccm itasepa lini!
 
Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...

YAANI HUJUI HATA TOFAUTI KATI YA TUME NA KAMATI?

Halafu Dr kasema haya.........'' amemtaka Rais aunde tume huru kuchunguza mauaji yote yaliyokwisha kufanywa na Jeshi la Polisi''
 
Acha itikadi zako hasa kwa mambo yanayogusa uhai wa Mtanzania. Lakini pia elewa hoja yake ni kuwa kamati haina mamlaka kisheria kuhoji baadhi ya wahusika hasa wateule wa rais. Ninyi ndiyo wale ambao hawana huruma na uhai wa mtanzania?

Hivi ukitaka kujua kama mvua inanyesha mpaka umuhoji mteule wa Rais? watu wote waliokuwepo hawawezi kutoa ushuhuda mpaka ahojiwe mteule wa Rais?!!!!
 
mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tume na kamati, si suala la majina tu! the two words are closely related but not synonymous
Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...
 
Ingeundwa tume angesema tume zimezidi kuwa nyingi. Lazima apinge tu, kwa sababu kwa uelewa wake anadhani upinzani maana yake kupinga kila kitu.
Cha msingi kuwe na team itakayofanyia kazi swala hilo na kupata ukweli wa kilichotokea. Whether inaitwa tume au kamati it doesnt matter...

Hekima hutoka kwa Mungu bure, omba nawe ikimpendeza waweza kupewa
 
Back
Top Bottom