Naomba kueleweshwa maana ya waandishi kuigomea police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kueleweshwa maana ya waandishi kuigomea police

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jodoki Kalimilo, Sep 12, 2012.

 1. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kifo cha mwandishi, nilipenda kueleweshwa maana ya waandishi kugomea kuandika habari nzuri za polisi. Sasa nikiwa naangalia TV station moja nimekuta kuna habari ya Airtel na kampuni ya PUMA wameshirikiana kutoa vifaa vya siku ya usalama wa barabarani inayooanza tarehe 17 September pia na kamanda wa kikosi cha barabarani ndugu Mohamedi Mpinga akapata nafasi ya kutoa shukrani na kutoa rekodi ya juhudi ya jeshi la polisi ktk kuzuia ajali.

  Nikiwa naendelea kuangalia ikaja taarifa nyingine inaonyesha mafanikio ya jeshi la polisi katika kudhibiti uharifu maeneo ya Gerezani darajani

  SWALI: Mbona taarifa za polisi zinaendelea kutolewa huku walisema hawatatoa na wataanza na hizi habari ya siku ya nenda kwa usalama? (wataanza kugomea kushiriki)

  Hapa nadhani kuna changamoto kubwa kati ya waandishi wa habari ambao wengi ni waajiriwa na wamilki wa vyombo vya habari katika hili jambo hili na ndio maana tumeanza kuona misimamo haitekelezwi
   
 2. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Labda ni TBC 1!
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  itv CORAL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwa nilivyoelewa mimi ni kwamba waandishi wa Iringa tuu ndio walisema hawatoshirikiana na Polisi kwa kipindi cha siku 90.
  So nadhani ni waandishi wa Iringa tuu haiwahusu wa miakoa mingine.
   
 5. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Ok mkuu nadhani nitakuwa nime-quote vibaya maana mengi yamezungumzwa mpaka kunasa yote inakuwa issue
   
 6. M

  Mlyafinono Senior Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni waandishi wa Iringa tuu ndo wameweka mgomo wa kuandika habari za polisi, lakini hatahivyo wameanza kusaliti kauli zao kutokana na kusumbuliwa na njaa
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zile bahasha za kaki hawawezi kushindana nazo bana, achana na njaa kuuma aisee.
   
Loading...