Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Sep 12, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

  Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

  Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mtandao wangu bado unafanya "buffering"!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaa Hoja Mufilisi.
   
 4. m

  mnduoeye Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa mkuu ni Watanzania gani unawapa huo ujumbe? Ni watanzania wa sasa au wa mwaka 1947? MAISHA GANI BORA KWA MTANZANIA UNAYOZUNGUMZIA? MIPANGO IPI YA MAENDELEO UNAYOZUNGUMZIA? ELIMU,AFYA,HUDUMA ZA JAIMM ZIMEZOROTA EAE WAFIKIRIA MAENDELEO NI BARABARA ZA DAR? ANGALIA MIKOANIKULIVYO NA TAABU .
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kabla ya chadema kupotea wewe utakuwa wa kwanza kupotea na mawazo yako ya ajabu kabisa
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo inshu iliyopelekea kuuawa kwa mwangosi iliwahusu waandishi wa habari peke yao, au iliwahusu na CHADEMA pia? kama CHADEMA wasingekuwa na ratiba ya kufungua matawi pale, Mwangosi angefuata nini? na PolisiCCM wangefika pale na kufanya mauaji..? MAFILILI jina lako tu linaonyesha wewe ni mtu mwenye matatizo kiakili na unayoyaandika hapa yanafanya watu kukuelewa zaidi,au unatafuta daktari? MODS naomba nirudie ombi langu la Jana..TAFADHALINI SANA WEKENI QUALIFYING KNOWLEDGE TEST ambayo user anapaswa kuifaulu kabla ya ku join Jamii Forums hii itasaidia ku filter out non- Great thinkers wawe wanakuja kusoma tu kama Guests!!
   
 8. P

  Pure Number Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema inamalengo mabaya sana japo utaona sera zxake ni nzuri,,z,kitu CUF ndo mpango mzimaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  NAKUSHAURI tafuta sehemu ya kupeleka hizi pumba,mioyo ya wtanzania wote inalia kwa uchungu kwa yale ambayo jemedali wako anayafanya,na sasa ameamua kugeuza machozi yetu kuwa damu kwa kutuua au kututesa kama ulimboka na mwangosi,Chadema imehusikaje hapo ?acha propaganda za magamba damu hizi zote kila zinapodoondoka chini sauti yake inapanda mpaka juu kwa muumba na iposiku wahusika yatawakuta.quote biblia kaini na abel
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Unadhani pesa inayotumika kujenga barabara ni ya wana CCM?Ni kodi zetu watanzania hivyo hata kama kikija chama kingine bado barabara itajengwa.
   
 11. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endapo unaona Waandishi wa habari kosa lao ni kuwapenda CHADEMA na mambo yao basi wewe una Kasoro kubwa kwa maneno mengine tunaseama kwa msemo wa sasahivi unafikiri kwa kutumiaMakalio
   
 12. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mafilili bwana, tangu lini JK huyu wa kizazi hiki akawa kiongozi shupavu? Ushupavu wake umeonekana kwenye nyanja gani? Na weweumekuwa mzungumzaji wa watanzania wengi tangu lini? Umekutana nao wapi wakakupa haya uliyoyaleta hapa jamvini? Kwa hiyo umekuwa shekh Yahya kutabiri kuwa CDM itapotea kwenye ramani ya siasa za Tz kabla ya December mwaka huu? Unaota njozi za CDM kudhoofika ili wewe na MAGAMBA wenzake muendelee kutafuna raslimali za nchi hii bila kuwajibishwa wala kupigiwa kelele?

  Akili nyingine bwana!!! Binafsi napata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri kama ndiyo umefikia hapo au ni UPOFU unaosababishwa na kulewa U - CCM? Maana mtu ukiwa ccm una kuwa kipofu kabisa kuanzia akili zako, ufikiri wako, perception and imagination vyote vinakuwa IMPAIRED and STAGNANT!!! You cant think beyond the box....ccm!!!

  Na kwa akili zako finyu unafikiri kuwa CDM ikidhoofu leo mabadiliko yatakuwa yameisha? Yaani ufikiri wako umeishia hapo kuwa baada ya CDM kufa au kudhoofu kama unavyoita, basi ccm itaendelea kutawala milele na milele amina!! Ndoto hizo....kwa taarifa yako binafsi nimechoka siasa za ccm, kikitokea chama kingine baada ya CDM kupotea, chama ambacho kitakuwa na mtazamo wa CDM, nitakiunga mkono na kuhakikisha ccm inabaki kuwa historia katika siasa za TAIFA hili.
   
 13. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  ***** wote ulioongea hapa unafaa kujibiwa kwa neno moja tu la kizungu:NONSENSE!

  Hakuna mtu yeyote anaweza kuamini na ***** wako huu isipokuwa CCM na vikaragozi vyake.Kama wewe unaona ni sahihi kwa Polisi kuua watu kwenye maandamano ya CDM wakiwemo na waandishi wa Habari basi unahitaji kupelekwa Mirembe au Lutindi Mental Hospitals!

  Kuua waue Polisi halafu mwuuaji awe CHADEMA! Waandishi wana andamana kulaani mauaji ya Polisi kwa Mwandishi mwenzao ambayo ni Haki ya msingi wewe unasema Waandishi wa Habari na TAMWA wanazidi kuiangamiza CDM! Kweli??!! Haiingii akilini. Ulitaka Waandishi wa habari na Wanaharakati washangilie na waisifu CCM na Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri ya mauaji ya Daudi Mwangosi????Kweeli???

  Let me tell you my friend, CCM henchman. Kwamba kwa Watanzania wa sasa wa hiki kizazi cha dot.com you must be wasting your time here with your rubbish. Hakuna mtu atadanganyika hapa! You better advice your Party CCM to organize themselves with a new strategy to combat CDM! Hii mbinu ya kuwatumia Polisi na UWT(Usalama wa Taifa) kuzima nguvu za CHADEMA muendelea kutawala Tanzania milele imekwama.

  Nendeni mkajipange upya. Moto wa M4C hakuna mwana-CCM atakaye pona kwenye Uchaguzi wa 2015 labda kwa muujiza!

   
 14. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  wooooooooooooooooooooo!boooooooo!teh teh tei teh!Huyu vipi?
   
 15. P

  Pure Number Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema bongo lala sana,,we unamwambia igp eti andaa risasi za kutosha!! Mufilisi kabisa cdm
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mjengee hoja na si kumtusi
   
 17. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu uko wapi kwa sasa? Sogea hapa mitaa ya Manzese tugonge supu ya paya za mbuzi. Valuer ikichanganywa na viroba haifai!
   
 18. m

  mamajack JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  lete tofali ili nijenge.
   
 19. a

  akwino laurent Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ungekuwa mtoto wangu leo ningekutundikia drip za kufkir maana mawazo yako ya kijinga sijayapenda
   
 20. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mafili wewe na CCM si Watanzania. Mngekuwa watanzania mngejali kinachoendelea; msingemlikisha rasilimali za nchi kwa wageni. Watanzania wanaelewa hoja za CDM, kamwe hawaelewi na hawataelewa hoja za CCM kwa sababu hazia aslahi kwao. Tafakari chukua hatua
   
Loading...