Jaji Mbarouk apelekwa uingereza kupata mafunzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Mbarouk apelekwa uingereza kupata mafunzo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, Sep 12, 2012.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  Mahakama ya Tanzania inatarajia kupeleka jumla ya majaji wanne wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu katika chuo mashuhuri kijulikanacho kwa jina la 'RIPA INTERNATIONAL' kilichopo nchini uingereza kushiriki mafunzo ya muda mfupi yanayohusiana na maadili ya mahakama(judicial ethics)..majaji watakaokwenda kupata mafunzo hayo ni; January Msofe,MBAROUK MBAROUK wa mahakama ya rufani..wengine ni Stella Mugasha na Shaaban Lila wa mahakama kuu
  mafunzo ni ya wiki moja kuanzia tarehe 24.09.12 London Uingereza.

  SOURCE:MAJIRA,12.09.2012
   
 2. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Afadhali maybe it will bring changes to the law professional!!!!
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kazi ya tundu lissu inazaa matunda..magamba wanadhani watz wote wamelala...bado kuhoji bachelor ya jk kama ni halali
   
 4. D

  Dislike Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata uteuzi wao wa kwenda huko una mashaka pia.
   
 5. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Hiyo wiki moja ndo itampa degree ya sheria?wanaweweseka kama wanampenda sana wamtafutie TUITION au asome QT.
   
 6. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  They should have these ETHICS at their tongue tips since walipokua chuo. Au hakuna kitu hii at that level? Hapa ndo utagundua Wahasibu wamejijenga sana hasa katika ETHICS zao coz ndo miongozo.
   
 7. T

  Tyad of fake Politcs Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nna waswas Mbarouk anaweza kurud na zile Phd zao za mlango wa nyuma...............utaskia Doctor of laws.........go go Mbarouk.go go kamanda Lissu
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi naomba kuuliza tu, hivi kama mtu aliferi form four baadaye akatengeneza cheti cha kijanja mpaka akapata Degree kihalali, hivi huyu kesi yake ikoje? naomba jibu kabla sijalipuwa bomu.

  N:B, Mkumbuke miaka ya nyuma ulikuwa unaweza kufoji cheti cha form four na kuendelea na Elimu ya juu bila kukalili darasa, kwahiyo sitalajii swali kuhusu hilo.
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Bora wakaongeze nondozzzz
   
 10. D

  Deo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Will they manage to teach these old dogs new tricks?
   
 11. LESIRIAMU

  LESIRIAMU JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 4,004
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Amshukuru sana Mh Lisu
   
 12. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuna jaji alifukuzwa uganda kwa kuingia chuo cha makerere kinamna.

  Ku
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni refresher
   
 14. K

  KINUKAMORI Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh., hebu tusubiri kama watakuja na jipya au utalii tu
   
 15. Andy1

  Andy1 Senior Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania haiishi vituko: mtu anakaribia kustaafu unaenda mfundisha ethics??
   
 16. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,277
  Likes Received: 2,952
  Trophy Points: 280
  Wanasema alipata gentleman degree.
   
 17. Urani

  Urani JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sasa ndo wanamchanganya kabisaaa!!!
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,210
  Likes Received: 3,822
  Trophy Points: 280
  Rekebisha, Mbarouk sio jaji! au si yule wa Lisu!
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Deo big up kwa ilo dokezo New tricks to an old dog its a total failure
  Kwa katiba mpya majudge wawe wana apply kama vyeo vingine ili wawe fair bothways
   
 20. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  kwa nini wasiwapeleke kule Chuo Uongozi wa Mahakama cha Lushoto, Tanga ambapo wangepigwa msasa mzuri tu wa wiki moja kwa kutumia wataalam wetu kama kina majaji waliobobea wastaafu na hata kumwalika Mh. Tundu Lissu, Prof. Safari n.h badala ya kwenda wiki moja huko RIPA , Uingereza CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA - LUSHOTO kwa ajili ya customised - training Strategic and operational management, organisational development and capacity building huku RIPA hawajui mahitaji yetu watanzania.
   
Loading...