Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamesema wako tayari kuweka wazi majibu ya vipimo vya mambukizi ya virusi vya ugonjwa wa ukimwi (VVU) hata kama watakuwa wameathirika...
Thursday, 13 September 2012 23:08
Protesters try to break through the US embassy in Sanaa during a protest over a film mocking Islam yesterday. Yemeni forces managed to drive out protesters...
Ameyasema hayo katika ziara yake wilayani Sengerema.
Source: Gazeti la Uhuru
ALHAMISI, SEPTEMBA 13, 2012 05:18 NA JOHN MADUHU, MWANZA
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amemmwagia sifa Mbunge wa...
Nimeiona hii taarifa ya Ikulu nimecheka sana. Hebu isomeni nanyi muone.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO LA KIMATAIFA LA KILIMO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Yawezekana mnajua mlichofanya juu ya kifo cha Mwangos ndio mana presha inawapanda. Mnyika leo rais uliemsema dhaifu ndio unapendekeza aunde tume, msiwe kama nyani tazameni nyuma
Wakuu ndani ya jukwaa letu la siasa nami niungane na wenzangu wote waliotangulia kulaani vikali ukatili uliofanywa na kufanyiwa tasnia hii ya habari,kwa mwana habari wetu toka kanda ya nyanda za...
Mwandishi wetu, Ukerewe-Mwanza Yetu
MKURUGENZI Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza Dr. Leonard Masale ametakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na tatizo la...
Godfrey Chikandawali alipokuwa akitambulishwa rasmi baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda
John Heche Mwenyekiti wa BAVICHA akihutubia mkutano wa wananchi wa Mwenge wilaya ya kinondoni
CHADEMA...
Mhe. Jaji Mstaafu Stephen Ihema, hapo juu anaonekana marehemu Daud Mwangosi akiwa na vifaa vyake vya kazi akimhoji Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda kabla ya kufikiwa na mauti...
Nimekosa maneno ya kutumia kwa Kiswahili fasaha kwenye heading.
Changamoto ni nyingi, mvua zikinyesha kidogo tu basi kila mahali panakuwa hapapitiki, yaani ni tope, maji machafu, pamoja na...
Taarifa ya habari ITV ya saa mbili usiku huu imeonyesha jinsi Waziri Mkuu Pinda alivyomsulubu hadharani Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe, kwa kutosimamia vizuri mipango ya maendeleo na hivyo wilaya...
Kuna matukio ya ajabu sana yanayojitokeza katika nchi yetu. Matukio ambayo yanahatarisha usalama wan chi lakini Rais ni kama vile hayupo. Kazi kubwa ya rais ni kulinda raia wake. Polisi wake...
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya.
Naomba kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate mwanga...
Mtoto Rais Jakaya Kikwete, Riziwan, ambaye yupo Dodoma kuhudhuria vikao vya Kamati ya utekelezaji na Baraza kuu la vijana huko Dodoma amewavuruga vijana wenzake baada ya kuzidiwa hoja na vijana...
Ni kinachojitokeza ktk kipima joto itv,vijana wanajitahidi kujenga hoja lakini wengine wanatoka povu wanajichanganya.kikubwa kinachojitokeza hapa ni suala la ajira.vijana wanaonekana kulalamika...
Kufuatia taarifa iliyotoka kwenye vyombo vya habari leo(gazeti la Nipashe) iliyoarifu kuwa muda wa kukata rufaa hukumu iliyotengua matokeo ya ubunge wa Aeish(CCM) kupita na yeye na chama chake...
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya.
Naomba kujua kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDANGANYIFU ULIOBAINIKA KUFANYWA NA KAMPUNI YAUCHIMBAJI IITWAYO AUREUS LIMITED AMBAYO ZAMANI ILIKUWA IKIJULIKANA KAMAMINEXTECH
Utangulizi
Kampuni ya Aureus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.