CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Wakejeli vikali Maandamano ya Waandishi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Sep 11, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke, mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa waandishi wa habari... Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.


  Source: CCM Blog

  Mytake:
  Nape Nnauye ndo alizindua hii blog ya CCM na yeye ndo anapeleka habari hizi; inakuwaje Nape unakuwa na chuki na waandishi? Je mbona unabomoa chama chetu?
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  shida iko wapi hapo, mbona hajawashangaa tbccm na uhuru?
   
 3. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Wamefanya vizuri kumpa nafasi ajieleze kama analojema la kuwaeleza, labda angeweza kutamka la muhimu kama vile RPC ameshasimamishwa kazi na atachukuliwa hatua isheria nk. baada ya hapo hunda wangempa nafasi jukwaani. Lakini alipoonyesha kuwa ni yale yale ya kulaghai wananchi wakampa mkono wa kwaheri. Wametumia busara pale.

  Pia hawakukosea hata chembe kumkaribisha Dr. Rewitama kuongea, kama ulivyosema ni rafiki yao, hata wewe kwenye msiba wa mtu wako wa karibu atakaeongea pale msibani ni rafiki yako wa karibu au jirani yako aliye na ushirikiano na mwenye busara.

  Nimelipenda bango moja walilobeba waandishi, liliandikwa "Kalamu inaweza kuwa hatari kuliko bunduki"; Sijui kama ulilisoma wewe? Ni ujumbe mzito, mwenye akili atatafakari!
   
 4. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  ccm lazima waponde maana wao ndio wanaoshinikiza polisi kuvuruga chochote kinachofanywa na chadema
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Waandishi hongereni kwa mshikamano wenu.
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nape asubili kuikabili kesi yake Mahakamani na aende kuthibitisha pasi na shaka kwamba Chadema inapewa mapesa kutoka nchi fulani huko majuu!! sasa shuzi limeshapata mjambaji.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,571
  Likes Received: 18,544
  Trophy Points: 280
  Mkuu Dr. Kupeng'e, asante, kumbe na wewe ni... nakutangulizia pole ahead of 2015!.
   
 8. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aliyeandika habari hiyo lazima alikuwa amebanwa na kimba, toka lini Lwaitama amekuwa ni mwanachama wa CHADEMA? Lwaitama yeye hujiita mwanachama mfu wa CCM,sasa kadi ya CHADEMA kachukua lini na ni kadi namba ngapi? uanaharakati wake kusitafsiriwe kuwa ni mwanaCHADEMA>
   
 9. M

  MR NICO MUNISHI New Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado! Tunasema m4c forever
   
 10. M

  MR NICO MUNISHI New Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na nibado tunasema m4c forever mpaka tubadilishe uso wa siasa tz
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kumbe ukipinga mwenendo wa nchi we ni cdm..ndo kwanza naskia lwaitama ni mpinzani.
   
 12. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nipo kidogo na hizi habari za Nape

  naomba kujua hukumu ya Lemma ni lini ???
   
 13. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo ndo tatizo la ccm ukiwapa tahadhali wanadhani wewe ni chadema huu ni ujinga
   
 14. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawajakutana bado kwenye kikao cha kahawa cha chama pale IKULU ili kuipanga hukumu.
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lyimo taratibu bwana
  unataka kuniambia lazima ikulu ipange kwanza huku kisha jaji aisome loh !! hii kali
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  kaka yangu Matola ni ngumu sana kuthibitisha kwanza inahusisha nchi nyingine kitu ambacho kinaweza kikaleta mahusiano mabaya na nchi husika NAPE aliropoka kitu kikubwa sana ambacho kinaweza kummaliza kisiasa
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Dr. Severini Lweitama mbona ni mwanachama mkongwe wa CCM lakini kwa sasa anajihesabu kama mwanachama mfu wa magamba kwa sababu hakubaliani na mwenendo mzima wa uendeshaji wa nchi na CCM
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  CCM=SERIKALI,na kama waandishi wana mgogoro na serikali ni wazi CCM haiwezi kufurahia.
   
 19. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Uzuri kwenye huo mtandao wao (maana si wakijamii), wanapeana moyo na kujipumbaza kuwa hali ni shwari sana. Mara zote wameshindwa kuwa analytical katika kutatua migogoro, huwa wanatafuta namna ya kui-link CHADEMA na kujiridhisha kuwa tayari wamepata ufumbuzi. Hata jambo liwe wazi na rahisi vipi, huwa wanakimbilia propaganda katika ufumbuzi. Sasa imefika wakati wananchi wameshaliona hilo na hawataki kuwaamini tena. Kama hili la mauwaji ya kikatili ya Daudi Mwangisi (RIP), walishatengeeza single kuwa marehemu alirushiwa kitu kizito toka kwa wafuasi wa CDM kilichosababisha mauaji ya Mwandishi Mwangosi na kumdhuru vibaya Askari mmoja. Bahati tu tukio hili zima lilinukuliwa vizuri na waandishi wa habari. Nilimshangaa Npe akindelea kukana huku akitikwa povu kuwa serikali/CCM hawahusiki na mauaji yanayoendelea na akisisitiza kuwa Tundu Lissu ni muongo, sasa mbona wanahofia kuunda TUME HURU? Sisi wananchi tutaweza vipi kuendelea kuiamini serikali/CCM katika hali kama hii??
   
 20. m

  mwanamfipa Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawa CCM laana ya Mwenyezi Mungu sasa inawatafuna na wanazidi kuumbuka mchana kweupe...ndo yale ya shigela anayedai kwamba haiingii akilini polisi kuua mtu asie na uniform za CDM na kwakua bado laana inazidi kumtafuna amezidi kung'ang'ania upuuzi huo. Kwani hao CCM hawajui kuwa Lwaitama ni Mwanachama wao mfu? na pia amekua akiandika makala nyingi kwenye gazeti la rai...kwani ni vibaya nae kujumuika na waandishi wenzake?
   
Loading...