Mauaji ya Mwangosi, sakata la Ulimboka na MwanaHalisi kulipukia TGNP

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Kwa taarifa nilizo nazo mpaka sasa ni kwamba kesho Jumatano Septemba 12, 2012 saa nne asubuhi kuna kongamano kubwa linaloshirikisha waandishi wa habari, madaktari, asasi zote za kiraia, madhehebu ya dini, nk. madhumuni ya hiyo platform ni kupinga mauuaji ya Daudi Mwangosi na kutoa tamko la pamoja pia kuhusu kufunguliwa kwa gazeti la mwanahalisi.

karibuni wote tusikose jamani.

Update:
Taarifa zinasema Mwakilishi wa Dk. Ulimboka atakuwapo pia TGNP leo na suala la Ulimboka litaanikwa upya. Wanatajwa kuwapo wadau mbalimbali watakaozungumza akiwamo Jenerali Ulimwengu na wahadhiri kadhaa wa Vyuo Vikuu nchini na Saed Kubenea naye atakuwapo. 2012-09-12_11-39-35_006.jpg 20120912_123220-1544202699.jpg u 20120912_123220-1544202699.jpg 20120912_123220-1544202699.jpg 20120912_123220-1544202699.jpg
 
kwa Taarifa nlizo nazo mpaka sasa ni kwamba kesho kuna kongamano kubwa linaloshirikisha waandishi wa habari, madaktari, asasi zote za kiraia, madhehebu ya dini, nk. madhumuni ya hiyo platform ni kupinga mauuaji ya Daudi Mwangosi na kutoa tamko la pamoja pia kuhusu kufunguliwa kwa gazeti la mwanahalisi.

karibuni wote tusikose jamani.
Nao wamekuwa wanaharakati?
 
Location:
Time:
 
Tme and Venue. Tunashukuru kongamano maana ingekuwa maandamano ingekuwa ni kitu kingine. Vyombo vya habar kesho kutwa iwe news!!! Ni wakati wenu wa kuichana serikali. Kesho kutwa atatupiwa bomu ndugu yako au wewe mwenyewe!!
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?
 
nchi yenye miaka 50 bado ni changa???.. Radhia sometimes jaribu kuwa Serious kidogo; Japo kidogo tu!.. Hivi Daudi Mwangosi angekuwa Mumeo kakuacha na wale watoto kwa kuuawa kikatili vile ungeongea haya? Unaona kama vile huwezi kukutwa na tatizo kabisa katika maisha yako!.. Angalia usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
 
ww radhia una moyo mgumo, ifike mahali tuwe na mawazo ya msingi, ngoja tusubiri hilo kongamano kesho hlf tuone nn yatajiri, na tanzania c changa ina miaka 50, rasilimali za kutosha uchanga wake uko wp? Mtoa mada tuambie venue wp? Ni pale TGNP au? na muda sema, acha kuwa na habari nusu nusu ss tukaribie wp?
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?

nchi yenye miaka 50 bado ni changa???.. Radhia sometimes jaribu kuwa Serious kidogo; Japo kidogo tu!.. Hivi Daudi Mwangosi angekuwa Mumeo kakuacha na wale watoto kwa kuuawa kikatili vile ungeongea haya? Unaona kama vile huwezi kukutwa na tatizo kabisa katika maisha yako!.. Angalia usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
 
Wadau kwa taarifa nlizo nazo itafanyika sa 4 asubuhi mpaka sa 7 viwanja vya TGNP
 
kwa Taarifa nlizo nazo mpaka sasa ni kwamba kesho kuna kongamano kubwa linaloshirikisha waandishi wa habari, madaktari, asasi zote za kiraia, madhehebu ya dini, nk. madhumuni ya hiyo platform ni kupinga mauuaji ya Daudi Mwangosi na kutoa tamko la pamoja pia kuhusu kufunguliwa kwa gazeti la mwanahalisi.

karibuni wote tusikose jamani.

Hivi hapa nchini mauaji yameanza kwa Mwangosi. Sipingi suala la kongamano ila nahoji kuwa kama taasisi zote hizo zingeanza mshikamano huo mapema yalipoanza mauaji ya Znzbar na Mwmbchai mnadhani jeshi hili lingekuwa bado halijabadilika. Hizi sio statements ni maswali ambayo yeyote anawezakukomment.
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?
Inabidi tukupime akili kwa kusema Tanzania ni nchi changa na ikiwezekana otoe faini kwa jamii forum! Juzi tu tumeazimisha miaka hamsini ya uhuru, wewe umri wako miaka miangapi ama na wewe tukuite mtoto mchanga?
 
An Enemy of my Enemy is my Friend.......

wapi waalimu na viongozi wa machinga kwanini hawakupewa mualiko am sure they could have added some uzito...
 
Hivi Radhia Sweet umeolewa au ndo njia yako kusaka mchumba?
Nitumie namba yako dear ntakuonea huruma tu!!!
 
Tumechoka maandamano jamani. Hii nchi ni changa sana na inachohitaji ni watu wachapa kazi si watu wakimbia kazi kwa kisingizio cha Mwangosi. Hivi kila mtu akisema aandamane kwa ajili ya Mwangosi tutafika kweli?
IKO SIKU utakung'utwa risasi ya masaburi ndio utajua ubaya wa polisi.
 
Back
Top Bottom