Uonevui wa Tendwa na CCM ni huu

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
kama tendwa angekuwa anatumia akili yake asingekurupuka na kusema ataifuta chadema,sababu cheo alichopewa na kikwete kama kada ndani ya serikari hakitaweza kufuta watanzani zaidi ya million 2 wanachama wa chadema.kwa upande wake asingesema vyama vinavyosababisha vifo kwenye mikutano,bali angesema polisi wasiuwe kwenye mikutano halali ya vyama na wasiuwe watanzania wasio na hatia.

Tendwa nina wasiwasi wa ubongo wake maana mtanzania wa leo hadanganyiki,sababu mambo yote yako wazi mbona hujatolea matamko yafuatayo?


  1. Aden Rage mbunge wa CCM kutembea na bastora kwenye mkutano wa kampeni za ccm yeye ni kamamnda wa polisi hukusema kitu.
  2. wabunge wawili wa CCM walitoleana bunduki kwenye vikao vyao vya CCM,tendwa anaona hiyo ndiyo siasa ya kuwafundisha watanzania,hajatolea tamko.
  3. uchaguzi arumeru mtaalamu na mtunzi mzuri wa matusi na mbunge wa CCM alitukana matusi mchana kweupe yale matusi watotowake wakikuwa wataja muuliza kama baba uliwahi kuwa kichaa?kwa tendwa hizo ni siasa safi na demokrasia ya kweli.
  4. kada na mtaalamu wa jazba na matusi mwigulu nchemba mbunge wa CCM alipomvalisha mbwa bendera ya chadema hiyo ni siasa inayopaswa kushangiliwa na tendwa?

Tendwa kaa chini tumia ubongo kama mungu alivyotujalia binadamu na hiyo ndio tofauti ya binadamu na mnyama. Rudi kwa bosi wako muombe kazi nyingine kama kuwa mlezi wa na mshauri wa CCM, lakini kwa kazi ya sasa sio ya mtu wa mawazo ya mwaka 47 naomba kuwakilisha.

Yaliyotokea kenya wakati wauchaguzi wao mkuu na kuuwa maelfu ya watu ni sababu ya watu kama wewe na ubaguzi wa kikabila wa burundi na rwanda kulihalalishwa na watu kama wewe na viongozi wako.kwa tanzania ya sasa kuchinjana, kuuwana itakuwa ni baraka yako na serikari yenu.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kuitetea ccm kunakuhitaji uwe mwendawazimu hivi, na ukitaka kujidharaulisha mbele ya hata waliokutuma itete ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom