ni dhahiri chadema ya sasa imekua na kujizolea washabiki pande zote za Tanzania na kwa kiasi kikubwa ccm inaendelea kupoteza ushawishi kwa vijana,wakulima na wafanyakazi.
Kwa maoni yangu mwaka...
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
Hapa najiuliza nashindwa kupaja majibu yenye tija na umuhimu wa shughuri husika.
Mh. Kayanza Peter Pinda yupo katika ziara ya nchi bila shaka nchi nzima katika kukagua, kuhimiza na kufungua...
Nimesikia kupitia magazeti kwamba Nimrod Mkono (Mbunge wa Musoma Vijijini - CCM), akisema kwamba ameshtushwa na taarifa kupitia vyombo vya habari kwamba jina lake limeenguliwa toka katika watu...
JUMAPILI, SEPTEMBA 16, 2012 08:08 NA BAKARI KIMWANGA, PANGANI
BUNGE ni moja ya mhimili wa nchi ambao umekuwa na wabunge ambao huwa ni wajumbe wa chombo hicho kwa ajili ya kutunga sheria za nchi...
JUMAPILI, SEPTEMBA 16, 2012 08:16 NA MWANDISHI WETU, MEATU
SERIKALI imeunga mkono wazo la Waziri Mkuu (mstaafu), Edaward Lowassa kwa kukiri kuwa endapo hakutakuwa na mkakati thabiti wa...
Freeman Alkaeli Mbowe anaamini kuwa fursa ya CHADEMA kuchukua nchi ni 2015,hivyo ni fursa muhimu kwake kugombea urais kupitia CHARDEMA,ili afanikiwe ameamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA...
Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya...
Wakuu salaam,
nimempigia ndungu yangu simu zanzibar yupo betilasi anasema amejifungia ndani na huko nje ni mabomu yanarindima tu,naombeni mtujuze mlioko huko
Habari ndio hiyo. Hayo yamesemwa na Dk Slaa katika mkutano wao na waandishi wa habari kuhusiana na tukio zima la Nyololo lililopelekea kuuawa kikatili kwa mwandishi wa habari wa Channel Ten na...
Leo eneo la vijibweni linalopita dalaja Isaya Charles aligombea nafasi ya udiwani lkn kura hazikutosha hata hivyo inasemekana alichakachuliwa mgeni rasimi ni George kutoka makao makuu ya...
Imeandikwa na Halima Mlacha | HabariLeo | Sept 14, 2012
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema ameishauri Serikali kudhibiti warsha za mara kwa mara na...
Wana JF leo kulikua na mkutano wa M4C ukiongozwa na Mh Lema, mstahiki meya Jafari pamoja baadhi ya madiwani akiwemo Abuu shayo wa kata ya Langoni, Mh mbonea kata ya mji mpya pamoja na baadhi ya...
Nianze kwa kuwapa pole wagonjwa wote waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Nilifika Muhimbili kwa mara ya kwanza siku ya Alhamis tarehe 13.09.2012, majira ya saa nne na nusu asubuhi...
Habari za J2?
Wadau karibuni katika sehemu ya pili na ya mwisho ya mjadala wetu tukija na njia ya nini cha kufanya kudumisha Amani yetu.
Tujitahidi kutorejea Yale tuliyouliza last week (...
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa kunionyeshamengi duniani,Kuna jambo ambalo linani nyima usingizi na ni suala tunalolisikiala udini,nime bahatika kufanya kaziubalozi wetu wa...
na Sitta Tumma, Kwimba
SIKU chache baada ya kwisha kwa sensa ya watu na makazi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametilia shaka takwimu zilizopatikana na kusema huenda mipango ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.