Kama Pinda anazunguka kuzindua miradi na Mwenge unazunguka kufanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Pinda anazunguka kuzindua miradi na Mwenge unazunguka kufanya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Sep 17, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,368
  Likes Received: 8,424
  Trophy Points: 280
  Hapa najiuliza nashindwa kupaja majibu yenye tija na umuhimu wa shughuri husika.

  Mh. Kayanza Peter Pinda yupo katika ziara ya nchi bila shaka nchi nzima katika kukagua, kuhimiza na kufungua miradi mbalimbali ya kimaendeleo bna imefika wakati hadi mama Tunu Pinda anairiza swali kwa mmewe anayetembea nae kote ii hari kwamba kama hawaonani.

  Nauliza mwenge unauzunguka na Pinda anavyozunguka kuna tofauti gani????
   
Loading...